Sifa, shobo na usharobaro vyamtokea puani mwanafunzi wa UCC Mbezi beach mbele ya wajeda leo

Watanzania ni watu wenye vichwa vingumu sana hadi washtuliwe ndiyo washike adabu! apigwe tu maana hamna jinsi! na hizo nchi unazosema wew raia wake wanajua taratibu kuhusu jeshi lao!

Kweli mkuu kwa jeshi lazima tuwape heshima yao.
 

Wewe kama ulienda jeshi na mkaenda route match huwezi kutetea hicho kitendo cha huyo dogo
 

Hicho alichokipata ni haki yake
 
Jehi siyo la kufanyia mchezo,wao wanakesha maporini sisi tumeuchapa usingizi tena tunakoroma,wacha agongwe
 
Huko walinkompeleka walimfanyaje???? Na aendeleaje???? Tupeni mrejesho.
 
Hivi wanajeshi wanaruhusiwa kupiga kura?

kura wanapiga na vile vile mkiwazingua tu " wanakinukisha " kwa kuchukua utawala wa nchi na kwa dalili zilizopo ndipo tunapoelekea watanzania.
 
Wataalam wa public administration tusaidiane. Unapoangalia utumishi Wa umma (public administration) jeshi halipo.,jeshi ni kitu kingine kabisa na sheria zake tofauti. jeshini ni amri tu while utumishi Wa umma kuna social aspect...muuloze Dr bashiru udsm.
Sasa hapo weakness ni kwamba duniani kote jeshi lometumika kama chombo cha kulinda maslahi ya tabaka tawala na ndo maana Fanya yote ila usilete utani na jeshi. Hata nchi zilizoendelea haya mambo yapo sema huwezi kuyaona live hivi mapaka yakukute au uwe na MTU Wa karibu aliyefanyiwa ndo utayajua.
 
elimu ya uraia ndiyo kuwapiga picha wajeda wakiwa mazoezini? kweli wewe poyoyo uliyetukuka. halafu kwa comment mbovu kama hii bado huko ulipo unajitamba kuwa wewe ni msomi!

Hatakama umepitia jkt sasa wewe wanajesh wakiwa mazoezini wapige picha halaf mtaelewana lugha vizur
 
Sijaona kosa la huyo dogo na vile vile hao wanajeshi waache ujinga na nyie mnaoshabikia acheni ujinga kitendo kilichofanyika ni kinyume za haki za binadamu.

Pia ni kinyume na sheria kumpiga mtu picha bila ridhaa yake.
 
Hii amani imetulevya,hebu tubadili scenario chukulia uko baa na demu au bwana ako halafu MTU was meza ya Jirani yenu anawapga pcha bila ridhaa yenu unajickiaje?au utachukulia poa?
 

mrembo una meno yote mdomoni kweli? samahani lakin kama nimekosea KUKOOLOZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…