Siasa: Nape kutoka Vuvuzela kuwa Shujaa wa Wapinzani

Hivi hujui kuwa shetani alikuwa malaika mkuu? Kwahiyo unataka tuendelee kumpenda shetani kwasabb tu hapo awali alikuwa malaika mkuu?
 
Wakati mwingine sheria ujuwe ndo inafanya kazi si mapenzi ya kisiasa. Ukiangalia yaliyokuwepo ni kuwa alikuwa anafanya majukumu yake ila hayakuwa yanawapendeza wengine kisiasa.
Hivi hujui kuwa shetani alikuwa malaika mkuu? Kwahiyo kwa unataka tuendelee kumpenda shetani kwasabb tu hapo awali alikuwa malaika mkuu?
 
Siasa hazina akili ndo maana sitaki kufuata siasa. Nape huyu ametukanwa sana mwaka juzi na mwaka jana katika kutekeleza kazi zake.

Najua wengi tunapenda maneno yanayotufurahisha zaidi ya kufikirisha.

Huyo ndo Nape ambaye amekata fitina ya kutukanwa na kuwa shujaa na kusifiwa na wapinzani wa CCM?

Sitaki siasa.
Kwani umesahau kutoka Lowasa mwizi ( fisadi) hadi mgombea urais asie na mshindani? Hii ndio siasa ya bongo. Kikwete hili hakulijua lilimuumiza sana kichwa hadi akasema hajui kwa nini sisi ni masikini. Sasa naamini amejua.
 
We kiazi kweli!hivi unajua kazi ya waziri wa habari

Ova

Siyo wakati wote mtu atakuwa vuvuzela. Kuna mahali inafika mtu anajitambua. Ni vema kumpa pongezi mtu anapofanya vizuri bila kujali chama chake, vinginevyo umelewa propaganda
 
Hakuna adui wa kudumu ktk siasa wala rafiki wakudumu, isipokuwa hoja ndio ama huwaunganisha au kuwatenganisha.Daka hiyo
 
Siasa hazina akili ndo maana sitaki kufuata siasa. Nape huyu ametukanwa sana mwaka juzi na mwaka jana katika kutekeleza kazi zake.

Najua wengi tunapenda maneno yanayotufurahisha zaidi ya kufikirisha.

Huyo ndo Nape ambaye amekata fitina ya kutukanwa na kuwa shujaa na kusifiwa na wapinzani wa CCM?

Sitaki siasa.
Kwahiyo hakuvamia clouds? Sijui kwanini hawakutumia trick wakamrusha live akifanya tukio? Ile tape huenda ikawa na footage zaidi hasa ukizingatia camera huwa ni zaidi ya moja.

Nakubaliana na wewe siasa ni siasa na wanasiasa Mara nyingi wanatumia matukio kujijenga lakini kuna wakati vitu vinageuka -ve effect. Kwa hili, Nape amechukua risk kubwa na hii inaweza kummaliza kisiasa. Naona kwa suala hili amekuwa Kama wewe ameamua sitaki siasa. Huyu siku zake za uwaziri zimehesabika.

Bravo Nape
 
Nape ame-mature sana kiakiri na ktk nyanja ya kisiasa. Siku anamkabidhi Polepole kijiti aliwaomba radhi watani (wapinzani) kwa maneno yaliyowakwaza.

Na sisi sote tunajua kwa nafasi aliyokuwa nayo wakati huo alipaswa kupata upinzani mkali toka vyama vya upinzani.

alipopewa uwaziri Nape kayavaa majukumu ya uwaziri barabara. Anatumikia watanzania wote. Ukiona Nape anapata sifa tofauti tofauti kila zama ni kwasabb ya muktadha huo
 
Hajawa na haitakaa awe shujaa wa upinzani. Mfano wa shujaa wa upinzani ni Tundu Lisu a.k.a Rais, Godbles Lema a.k.a Mandela wa TZ, Ben Saa8 ambaye inadaiwa alipotezwa kwa msaada Daudi A.B

simply ifahamike kuwa mazingira anayoyapitia saa8 hayatawaacha salama. Kiburi cha Daudi A.B sio bure, anajua siri alizomfichia mpiga push-up.
Ben saa 8 anaonekana vijiwe vya kahawa

SAED KUBENEA
 
Alivamia na ni kosa kubwa sana kiutawala. Ila hoja ipo kwa ndugu Nape ambaye ni majuzi tu amekuwa anaandamwa na upande mmoja na sasa anaonekana shujaa.

Ukiangalia vizuri utajua binadamu tunashangilia yanayotupendeza tu machoni petu.

Back
Top Bottom