schlumberger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 890
- 351
Hizo sifa zote ulizozitaja zilikuwepo Karne nyingi zilizopita hazikuanza Leo. Na bado waja wa Mwenyezi mungu walikuwepo. Na hili ni la kuendelea muda wa kuwa Milano ya toba iwazi.
Wapo busy wanashindana kutenda miujiza ili wapige Pesa.Ni kawaida panapokuwa na matukio ya kitaifa ya kisiasa viongozi wetu wa dini hukusanyika pamoja na wanasiasa na kufanya dua.
Sasa watanzania wote tunajua kuwa Maji ni uhai na kwamba katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu mvua haijanyesha. Mpaka sasa nilitegemea wale mitume na manabii wa nchi hii walau wangetukusanya pale uwanja wa taifa kwa ajili ya maombi kama wafanyavyo nyakati za mwaka mpya.
Nimpongeze Mufti Abubakar Zuber kwa kuitangaza jumapili hii kuwa ni siku ya kuombea mvua za heri, nami naahidi kuwa pamoja nao katika maombi hayo kiroho.
Mitume na manabii nanyi hamuoni umuhimu wa kutenda kama Mufti na kama mmebanwa na ratiba zenu tujulisheni ili tuangalie namna nzuri ya kushirikiana na Mufti siku ya jumapili.
Niendelee kuwatakia Kwaresma yenye baraka!
Kwani mzazi wangu ni mungu ... Unamfananisha huyo mungu na mzazi , stupid
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu! Yaelekea wewe ni mpagani,huyajui maandiko.Hii dhana ya kumuomba Mungu inanichanganya sana maana yeye ndiye aliyetuumba na anajua mahitaji yetu ya kila siku tena sio ya leo tu bali hata siku ijayo sasa ni vipi tena katika kututengenezea mustakabali wetu hadi tumuombe?
Ccm ina laana ndio maana zinaikosesha hii nchi mvua,madhambi wanayofanya ccm shetani mwenyewe anawashangaa.CCM imeingiaje hapo?!
Hivi huyo Mufti ndo rafikiye Bashite?maana haya majina ya Alhad Musa na Abubaker Zubeir yananichanganya.
Kama ni yeye basi Allah hatayasikia maombi yake.Huwezi kushirikiana na Bar-shite halafu Mwenyezi Mungu akuhesabie haki au ajibu maombi yako.
Lakini kama si yeye,Allah atasikia maombi hayo na kuyajibu kwa kadri ya rehma zake.
Alituumba ili tusitende dhambi usisahau hilo mkuu!
CCM imeingiaje hapo?!
Ndio chanzo na mhimili wa maovu yote na mvua kutokunyesha.CCM imeingiaje hapo?!
Ni kawaida panapokuwa na matukio ya kitaifa ya kisiasa viongozi wetu wa dini hukusanyika pamoja na wanasiasa na kufanya dua.
Sasa watanzania wote tunajua kuwa Maji ni uhai na kwamba katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu mvua haijanyesha. Mpaka sasa nilitegemea wale mitume na manabii wa nchi hii walau wangetukusanya pale uwanja wa taifa kwa ajili ya maombi kama wafanyavyo nyakati za mwaka mpya.
Nimpongeze Mufti Abubakar Zuber kwa kuitangaza jumapili hii kuwa ni siku ya kuombea mvua za heri, nami naahidi kuwa pamoja nao katika maombi hayo kiroho.
Mitume na manabii nanyi hamuoni umuhimu wa kutenda kama Mufti na kama mmebanwa na ratiba zenu tujulisheni ili tuangalie namna nzuri ya kushirikiana na Mufti siku ya jumapili.
Niendelee kuwatakia Kwaresma yenye baraka!
Tunapoomba kwa maanani pia huwa tunaomba atusamehe dhambi zetu ambazo tunazitenda aidha kwa kujua au kutojua.Hivyo basi akiamua kutusamehe dhambi anaondoa adhabu iliyo karibu nawe hivyo we we unajiona umepata baraka anapojibu maombi yako.Vivyo hivyo tukosapo mvua wanasayansi hutoa tafsri zao kama vile kwamba tunachafua mazingira nk lakini wacha Mungu hili la wanasayansi hulipa kisogo na kumlilia Mungu na Mara nyingi hutupa faraja akitupilia mbali mambo ya sayansi.Dhana hii inathibitika pale mvua inaweza kosekana kwa musimu eneo Fulani lenye uchafuzi wa mazingira lakini within no time mvua inanyesha kabla hata nyie hamjarekebisha hayo mazingira mliyoyaharibu .Mungu akuguse.pia we we uweze shiriki hayo maombi.Tumepata adhabu ya ukame na Mungu huyo huyo akapeleka idai Msumbiji with her neighbours kama adhabu kupitia mvua.Imekuwaje tunatenda dhambi? Ebu fikiria yeye ametuumba katika jamii tofauti wapo wazungu,waarabu,wahindi,wachina,weusi nk na kwa akili ya kibinaadamu wapo wanaofikiri na kupenda kujibadilisha lakini haiwezekani sasa imekuwaje hapo kwenye dhambi?
Dini,dini,dini......
Only fools even think dini means anything other than glorified stupidity!
Mtu mzima kabisa anaona solution ya kuleta mvua hapa duniani ni kufanya ibada?
Really?
Ndio maana Africa tupo nyuma kwa kila kitu,disgrace to humanity!
Africa tupo nyuma kwa sababu ya dini! Lakini hao unaowaona wapo Mbele Ndiyo Waasisi wa Hizo dini na kuzileta Africa.
Hivi wewe Genius usiyeamini dini una ubora gani wa kimaisha kumzidi Crown prince wa Uengereza ambaye ni Muumini wa Kianglicana kindakindaki?
Au una ubora gani wa kimaisha kumzidi Mufti Mkuu wa Saudi Arabia ambaye ni Muumini wa Kiislamu mwenye utajiri zaidi ya dola $100m?
Africa kuwa nyuma si sababu ya Dini kwani Hata ulaya kuna Waumini wa Dini wakubwa tu kiasi ya kwamba Kama wewe si Muumini wa Anglicanism au Catholic huwezi kuongoza nchi kama England and Scotland respectively.
Bali kilichotueka Afrika kuwa nyuma ni Siasa mbovu, za kibabe na ufisadi uliokithiri.
Mkuu saa nyengine unapojifanya mjuaji sana na ukaona mitazamo ya wenzako ni wajinga basi utakuja jikuta wewe ndiye unayetumbukia kwenye ujinga.
Hao masheikh waache kusaka point za mezani, hata wasipoomba mvua haina wiki 2 toka sasa lazima zinyeshe. Wanataka kujifanya wanaomba ili itakapoanza kunyesha wajifanye ni wao wameileta. Kama wanauwezo huo wa kumuomba Mungu na akawasikia waombe inyeshe kila siku masaa mawili kwa muda wa miezi miwili kisha, isilete madhara. Kwa taarifa yao kwa ukaribu huu wa mvua hata mashoga wakiomba tena wakiwa kwenye lile tendo lao, mvua lazima inyeshe.