nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,353
- 8,143
mkuu wengi wetu ni wadhaifu mbele ya tuwapendao ndo mana tunatoa 2nd chance....na maisha ya 2nd chance mtu unaishi ukiwa huna iman kabisa na mwenzioUtaacha wangapi?2nd chance inategemea
mkuu wengi wetu ni wadhaifu mbele ya tuwapendao ndo mana tunatoa 2nd chance....na maisha ya 2nd chance mtu unaishi ukiwa huna iman kabisa na mwenzioUtaacha wangapi?2nd chance inategemea
Mie mtu akizingua.. Ngumu kumpenda au kumuamin kama awali.. Akitaka tuendelee ajue kabisa hana nafasi kwangu namchukulia supu ya mbwa..
Mwanzo mara nyingi huwa neutral, so upendo utaongezeka au kupungua kutegemea na yeye anavyoact.. Akionesha love ya kutosha na mie rank zinapanda, akijambisha na mie mishuzi tu.
Sasa Mungu kamfunza mfano kakusababishia majanga
Wakati mwingine kumpa mtu second chance katika mapenzi hasa hizi upcoming love na hata hizi love zilizo komaa ni sawa na kumpa kisu mtu akumalizie sabu kile alicho kuchoma mwanzo akikukupata vizuri. So kueni makini sana ndugu msije kua mnajifukia mngali hai.Once a person mess up with you tena kwa visingizio vya shetani,simple achana nae jipange upya.
Umenichomaje, nimetoa second chance ndiyo kanimaliza kabisa, lilivyokuwa halina aibu linadhani nimesahau linataka nafasi nyingine tena, naona sasa anataka kuniua kabisa. Nimejifunza kitu. Ila ni mwanaume ambaye hana akili tuu Ana miaka 43 ila hajielewi kabisa. Kumsamehe unaweza kumsamehe ila aendelee na maisha yake na siyo kumsamehe na kurudianaWakati mwingine kumpa mtu second chance katika mapenzi hasa hizi upcoming love na hata hizi love zilizo komaa ni sawa na kumpa kisu mtu akumalizie sabu kile alicho kuchoma mwanzo akikukupata vizuri. So kueni makini sana ndugu msije kua mnajifukia mngali hai.Once a person mess up with you tena kwa visingizio vya shetani,simple achana nae jipange upya.
Hapo akili kumkichwa kuzubaa umeachwa mortuaryUmenichomaje, nimetoa second chance ndiyo kanimaliza kabisa, lilivyokuwa halina aibu linadhani nimesahau linataka nafasi nyingine tena, naona sasa anataka kuniua kabisa. Nimejifunza kitu. Ila ni mwanaume ambaye hana akili tuu Ana miaka 43 ila hajielewi kabisa. Kumsamehe unaweza kumsamehe ila aendelee na maisha yake na siyo kumsamehe na kurudiana