SiA Bookstore & stationary ni wauzaji wa vitabu mbalimbali, gharama nafuu zaidi

343944d7215fe9e5d0fa8dfa7b5e2cdb.jpg

Rehema and Clara are friends,but the class differences between their families,engineered by Clara's father,draws them apart.
Rehema whose father is a mason,has a loving family but she has to struggle hard to get education.
Clara and her brother Patrick,are well provided for in all their education needs,but their father's desire for them to success does not bring them happiness.
The thorn in the lives of the two girls is the cut throat competition for the National Championships. Baba Clara is determined to make Clara win by all means at his disposal. Clara has been well prepared and is set to win.
Rehema who runs free on village roads,is driven by her love of running since she was a child. Who between them will win the National Championships ?

Run free,is a story of what extreme ambition can do to people and to others around them. It is also a story of love,it's strength and it's capacity to empower those who work hard and yet are able to share whatever they have with others.


Bei_5,000/=
 
0ca029cd7b624bb52aa483d6923007ce.jpg

Maria is a secondary school student who is in love with David, a young man from her neighbourhood. David is a promising law student.
Their relationship seems idyllic but is put under strain when David brings up the issue of pre marital sex. Despite her love and fondness for David,Maria is against it. She has goals in her life,including graduating from secondary school;She refuses because she is afraid of becoming pregnant and being forced to quit school and give up her dreams.


Bei_5,000/= Tshs.
 
84d4db088a2328f518cc02c6bf327351.jpg

Masumbuko alitaka kupata utajiri wa haraka,akatoroka shule kwenda mjini na akaishia mahabusu. Alipata matatizo mengi na kujifunza mengi. Fuatilia kisa hiki kwa umakini ili ujifunze na kuelimika.
.
Bei_5,000/=
 
11caf9baba1c486d23513be58e31ca0e.jpg

Katika familia ya bwana na bibi kinyonga,wanazaliwa watoto wengi kwa mpigo. Mmoja wao hana uwezo wa kujibadili rangi. Familia nzima inapatwa na simanzi..atajilindaje dhidi ya maadui?
Soma kisa hiki ujue ni kwa vipi kinyonga huyu mdogo anageuka kuwa shujaa wa kutegemewa.
.
Bei_5,000/=
 
9ee5da1ddf515bc8b8a4f4401d07d057.jpg

Je,ni Mara zote wenye nguvu ndio wanaoshinda? Je,kuwasikiliza wadogo kuna manufaa? fuatilia upate majibu ya maswali haya katika hadithi hii yenye michoro ya kuvutia.
.
Bei_5,000/=
 
9608d776d2f5effe14da3e4c2fa008a2.jpg

Bahati inapotokea mara nyingi haijulikani inakotoka. Ishara zake zinaweza kuwa nyingi au chache,katika hadithi hii tamu,binti mmoja anapata bahati kwa kumfuata ndege aina ya yangeyange anayemvutia kwa kumdondoshea shanga nzuri sana. Soma ugundue Siri ya ndege na shanga nzuri
.
Bei_5,000/=
 
3f0b3e52057cf5e4198e6cc7c23a48d3.jpg

Hadithi hii ni ya mkata kuni fukara aliye gundua na kuokota dhahabu iliyofichwa kutoka pangoni na majangili arobaini. Hadithi hii ni maarufu sana na ni moja kati ya hadithi za uajemi na uarabuni katika simulizi za Alfu Lela Ulela.
.
Bei_5,000/=
 
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery
/251dc038f8f6df783eb7b7f70bfaadee.jpg

Bei_9,000/=
 
6ad72f8407925226db2ef94a92871868.jpg

Katika mashindano ya michezo ishirikishayo wanyama na ndege,amini usiamini,kinyonga anaibuka mshindi. Picha nzuri na rangi zitawavutia watoto katika kusoma na hadithi hii na kufunza.
.
Bei_5,000/=
 
2c836079f1faad5097e6e4006fc9f0cf.jpg

Kitabu hiki kina mkusanyiko wa hadithi za wanyama zenye kutoa mafundisho yenye adili,ni kitabu kitakacho faa watu wa rika zote,kuanzia vijana mpaka wazee. Hakika atakaye ogelea kwenye hadithi ataburudika,atafarijika,atakosoleka na kadha wa kadha.

Bei_5,000/=
 
c497f97383dc3a540e4e9299a6b97ba8.jpg

Kukosa katika maisha ni jambo la kawaida. Kusameheana huleta maelewano zaidi na kuleta maisha. Kutosameheana huleta mauti na maumivu.
Mwanasimba hakuwa tayari kusamehe,hatimaye alipatwa na maumivu...
.
Bei_5,000/=
 
Back
Top Bottom