Talib conscious
Member
- Apr 19, 2025
- 10
- 16
Ukiingia kwenye mahusiano na mwanamke anaejifanya Sheikha ni mateso tu mkionana ukitaka kubusu anakwambia sjazoea ukitaka kumshika au kumkumbatia hatujaowana bado shida Ina kuja pale unapomwita geto anaanza kukupa hadithi na methali mwisho anakwambia unataka tuzini yaani shida tupu mpaka unafikia kumwambia kwani hujawahi kua na nyege/atakujibu tu shortcut namuogopa mungu / Ila pesa haziogopi na mwanamke huyu humkuti popote pale ispokua Zanzibar/yaani mwanamke wa kizanzibari unamtongoza Mara mbili/
Yaani nyie acheni wazenji wanajifanya wadiini Sana 🤣😎
Yaani nyie acheni wazenji wanajifanya wadiini Sana 🤣😎