Talib conscious
Member
- Apr 19, 2025
- 10
- 16
βπΎ Hapa ndipo Kuna point ya msingi. Wale wa kilokole pia wanaomba hela Kila siku ila ukiomba game anasema anamuogopa Munguatakujibu tu shortcut namuogopa mungu / Ila pesa haziogopi
Huyo hajakaa Zanzibar, Zanzibar likiingia Giza Kila kitu kinabadililika hiyo din ni kama utamaduni tu, wewe ulikuw unatongoza vitoto . Kaa vizuri na wenyeji Ufahidi mema ya ZanzibarKule kwao hiyo huwa wanatunza atakayemuoa aikute, wako tayari upite mtaroni.
Ila pia hawapendi kuolewa na wabara kwa kigezo tu hatujui kudekeza
Kule sexy ni raisi, wala sijakukatalia akiwa haijatoka hasa pembezoniHuyo hajakaa Zanzibar, Zanzibar likiingia Giza Kila kitu kinabadililika hiyo din ni kama utamaduni tu, wewe ulikuw unatongoza vitoto . Kaa vizuri na wenyeji Ufahidi mema ya Zanzibar
Hata huku wapo, mimi kuna mrangi mwenzangu alinisumbua ivo miak 2 nikaamua kumpiga tofali.. hataki sex hataki kiss, ila ela anataka.Ukiingia kwenye mahusiano na mwanamke anaejifanya Sheikha ni mateso tu mkionana ukitaka kubusu anakwambia sjazoea ukitaka kumshika au kumkumbatia hatujaowana bado shida Ina kuja pale unapomwita geto anaanza kukupa hadithi na methali mwisho anakwambia unataka tuzini yaani shida tupu mpaka unafikia kumwambia kwani hujawahi kua na nyege/atakujibu tu shortcut namuogopa mungu / Ila pesa haziogopi na mwanamke huyu humkuti popote pale ispokua Zanzibar/yaani mwanamke wa kizanzibari unamtongoza Mara mbili/
Yaani nyie acheni wazenji wanajifanya wadiini Sana π€£π
Na mbwembwe zote hizo unakuta bikra ya back bencher haipoUkiingia kwenye mahusiano na mwanamke anaejifanya Sheikha ni mateso tu mkionana ukitaka kubusu anakwambia sjazoea ukitaka kumshika au kumkumbatia hatujaowana bado shida Ina kuja pale unapomwita geto anaanza kukupa hadithi na methali mwisho anakwambia unataka tuzini yaani shida tupu mpaka unafikia kumwambia kwani hujawahi kua na nyege/atakujibu tu shortcut namuogopa mungu / Ila pesa haziogopi na mwanamke huyu humkuti popote pale ispokua Zanzibar/yaani mwanamke wa kizanzibari unamtongoza Mara mbili/
Yaani nyie acheni wazenji wanajifanya wadiini Sana π€£π
unataka umkute na bikra utamuoa?Alafu akijakukubali hana bikra
Mzee mwenzangu, nadhani tupo dunia mbili tofauti. Yaani ukisoma nyuzi za mahusiano za vijana wetu halafu uje ulinganishe na enzi zetu zile, wallah unaweza kudhani labda kuna sayari 2 tofauti. Kwanza enzi zetu, mwanamke unamsotea hasa yaani, ukimwita mkutane sehemu (huenda hapo ulipiga sound zaidi ya mwezi ) anakuja na mdogo wake ili tu msifanye; wa sasa hvi khaa! π π maji mara 1 tu, kakubali.Tatizo hapa standard za wanawake ndio zimebadilika; 30 years ago huyo mwanamke ndio alikuwa default ya mabinti huko mtaani
Wewe unaona cha ajabu kwasababu tushazoeshwa waliojirahisisha ambao ndio default ya sasa
Yaani mabibi na mababu wa miaka 2050 - 2070 watakuwa wazee wa ajabu kupata kutokea π€£Mzee mwenzangu, nadhani tupo dunia mbili tofauti. Yaani ukisoma nyuzi za mahusiano za vijana wetu halafu uje ulinganishe na enzi zetu zile, wallah unaweza kudhani labda kuna sayari 2 tofauti. Kwanza enzi zetu, mwanamke unamsotea hasa yaani, ukimwita mkutane sehemu (huenda hapo ulipiga sound zaidi ya mwezi ) anakuja na mdogo wake ili tu msifanye; wa sasa hvi khaa! π π maji mara 1 tu, kakubali.
Yaani, π π π π π€£Yaani mabibi na mababu wa miaka 2050 - 2070 watakuwa wazee wa ajabu kupata kutokea π€£