Si-date tena na mwanamke anayejifanya Sheikha

Apr 19, 2025
10
16
Ukiingia kwenye mahusiano na mwanamke anaejifanya Sheikha ni mateso tu mkionana ukitaka kubusu anakwambia sjazoea ukitaka kumshika au kumkumbatia hatujaowana bado shida Ina kuja pale unapomwita geto anaanza kukupa hadithi na methali mwisho anakwambia unataka tuzini yaani shida tupu mpaka unafikia kumwambia kwani hujawahi kua na nyege/atakujibu tu shortcut namuogopa mungu / Ila pesa haziogopi na mwanamke huyu humkuti popote pale ispokua Zanzibar/yaani mwanamke wa kizanzibari unamtongoza Mara mbili/

Yaani nyie acheni wazenji wanajifanya wadiini Sana 🤣😎
 
Huyo hajakaa Zanzibar, Zanzibar likiingia Giza Kila kitu kinabadililika hiyo din ni kama utamaduni tu, wewe ulikuw unatongoza vitoto . Kaa vizuri na wenyeji Ufahidi mema ya Zanzibar
Kule sexy ni raisi, wala sijakukatalia akiwa haijatoka hasa pembezoni
 
Hujapewa code umevamia kambi ovyo nina binti wa kizanzibari mambo yake sikutegemea ila ukimwona hivi utasema huyu si ndo mke
 
Ukiingia kwenye mahusiano na mwanamke anaejifanya Sheikha ni mateso tu mkionana ukitaka kubusu anakwambia sjazoea ukitaka kumshika au kumkumbatia hatujaowana bado shida Ina kuja pale unapomwita geto anaanza kukupa hadithi na methali mwisho anakwambia unataka tuzini yaani shida tupu mpaka unafikia kumwambia kwani hujawahi kua na nyege/atakujibu tu shortcut namuogopa mungu / Ila pesa haziogopi na mwanamke huyu humkuti popote pale ispokua Zanzibar/yaani mwanamke wa kizanzibari unamtongoza Mara mbili/

Yaani nyie acheni wazenji wanajifanya wadiini Sana 🤣😎
Hata huku wapo, mimi kuna mrangi mwenzangu alinisumbua ivo miak 2 nikaamua kumpiga tofali.. hataki sex hataki kiss, ila ela anataka.

Ana force leta posa tumalize ili swala.

Tumia njia zote Hollah, nikaamua kumpa tofali tu
 
Ukiingia kwenye mahusiano na mwanamke anaejifanya Sheikha ni mateso tu mkionana ukitaka kubusu anakwambia sjazoea ukitaka kumshika au kumkumbatia hatujaowana bado shida Ina kuja pale unapomwita geto anaanza kukupa hadithi na methali mwisho anakwambia unataka tuzini yaani shida tupu mpaka unafikia kumwambia kwani hujawahi kua na nyege/atakujibu tu shortcut namuogopa mungu / Ila pesa haziogopi na mwanamke huyu humkuti popote pale ispokua Zanzibar/yaani mwanamke wa kizanzibari unamtongoza Mara mbili/

Yaani nyie acheni wazenji wanajifanya wadiini Sana 🤣😎
Na mbwembwe zote hizo unakuta bikra ya back bencher haipo
 
Tatizo hapa standard za wanawake ndio zimebadilika; 30 years ago huyo mwanamke ndio alikuwa default ya mabinti huko mtaani
Wewe unaona cha ajabu kwasababu tushazoeshwa waliojirahisisha ambao ndio default ya sasa
Mzee mwenzangu, nadhani tupo dunia mbili tofauti. Yaani ukisoma nyuzi za mahusiano za vijana wetu halafu uje ulinganishe na enzi zetu zile, wallah unaweza kudhani labda kuna sayari 2 tofauti. Kwanza enzi zetu, mwanamke unamsotea hasa yaani, ukimwita mkutane sehemu (huenda hapo ulipiga sound zaidi ya mwezi ) anakuja na mdogo wake ili tu msifanye; wa sasa hvi khaa! 😃 😀 maji mara 1 tu, kakubali.
 
Yaani mabibi na mababu wa miaka 2050 - 2070 watakuwa wazee wa ajabu kupata kutokea 🤣
 
Back
Top Bottom