mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 637
Rais kama anasoma hapa awe makini sana na huyo jamaa. Ana ndimi mbili haaminiki. TISS wapitie historia ya huyo jamaa na wamshauri rais accordingly....
bwana yule anapenda sifa hashauriki
Rais kama anasoma hapa awe makini sana na huyo jamaa. Ana ndimi mbili haaminiki. TISS wapitie historia ya huyo jamaa na wamshauri rais accordingly....
Unahis FEZA wanaweza wasifungiwe???Zinafungiwa redio hapa bila hata kusikilizwa UTETEZI wao iwe FEZA?Kama marais wamekubaliana kwa maslah yao kwa mataifa yao FEZA SKULZ ndani ya dakika zinapotea,wanaweza kuwekewa zengwe au masharti yeyote tu magumu wakafungasha virago.Feza hazina elements za kigaidi, wala hazitoi mafunzo hayo, serikali kupitia waziri Mahiga ilisema wazi wazi, hakuna ushahidi hizo shule zina elements za kigaidi kama huyo Rais wa Uturuki anavyotaka kuaminisha watu... ukiacha shule hizo, je na hospital mbalimbali za Gullen nazo zinafanya ugaidi..? ni uongo mtupu, bahati nzuri serikali yetu ilishaweka msimamo wake madhubuti kuwa haziwezi zifunga...
Ww unaangalia Uturuki tu, kwa taarifa yako Gullen yuko U.S, na ni rafiki wa U.S, so hata assets zake ktk nchi kadhaa duniani, U.S itamsaidia, so U.S hawawezi acha rafiki yao ananyanyaswa kihuni na mwenzake... hilo kaa nalo vema, U.S is the most powerful, Uturuki kitu gani bana.. Huyu Rais wao anakosea sana..