Shule ya Msingi ya Ubungo Makuburi, Yalamba Bingo ya TotalEnergies Tanzania, kwa Kujengewa Ukuta Kama Zawadi ya Ushindi wa Shindano la VIA!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
52,858
119,650
Wanabodi,
Hili Kampuni kubwa la Mafuta nchini Tanzania kuliko makampuni yote, linaendelea kutandaza wema wake kwa Watanzania, sasa linajenga ukuta kuizunguka shule ya Ubungo Makuburi.
Dar es Salaam, Octoba 30, 2024 Na Mwandishi wetu Shule ya Msingi Ubungo Makuburi, Kujengewa Uzio Na TotalEnergies, Kufuatia Ushindi wa Shindano VIA Creative.

Shule ya Msingi ya Makuburi, imejipatia zawadi ya kujengewa uzio kuizunguka shule hiyo, utakaojengwa na kampuni ya TotalEnegies Marketing Tanzania Limited, baada ya shule hiyo kuibuka bingwa kwenye Shindano la kimataifa la "VIA CREATIVE" kwa kutwaa nafasi ya kwanza.

Ahadi hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, Mamadou Ngom kwenye hafla ya kukabidhi tunzo kwa wanafunzi walioshinda kwenye msimu huu wa tatu wa VIA Creative ilifanyika kwenye ofisi za TotalEnegies Marketing Tanzania Limited jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, ambapo shule ya msingi ya Makuburi Primary school iliibuka mshindi wa kitaifa wa shindano hili na muwakilishi wa Tanzania kwenye ngazi ya kimataifa mnamo mwezi Novemba 2024 kule jijini Paris, na itazawadiwa kwa kujengewa ukuta kutimiziwa changamoto ambayo wanafunzi hao waliomba kwaajili ya kuboresha usalama wao barabarani kwa kupitia programu hii ya VIA Creative.

Mmadou Ngom alisema, “Tunayo furaha kubwa kuwa hapa leo tukusherehekea mafanikio ya mabalozi wetu wa usalama barabarani kupitia mradi wa VIA Creative amabo tumeshirikiana na Nafasi Art Space ambao wamekuwa wakiwapatia wanafunzi hawa elimu ya usalama barabarani kwa kupitia sanaa. Kupitia mradi huu tumeweza kuunda klabu za mabalozi barabarani 120, 20 kutoka kwenye kila shula. Pia wanafunzi hawa wameweza kutoa mapendekezo yao ya jinsi ambavyo usalama wao wa barabara unaweza kuboreshwa nasi tutatekeleza mapendekezo hayo kwa shule ya msingi ya Makuburi ambao ndio wa shinda wa kitaifa wa shindano hili kwa mwaka 2024.”

Mgeni rasmi, Mkuu wa Idara ya Mafunzo ya Trafiki Kinondoni, A.S.P Rose Bernard Maira aliwapongeza TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, TotalEnergies Foundation Pamoja na Nafasi Art Space akisema, “Nawapongeze washika dau waliowezesha mradi huu wa VIA Creative, yani TotalEnergies Foundation, TotalEnergies Marketing Tanzania Limited Pamoja na Nafasi Art Space, juhudi zenu na mafanikio yenu katika kutoa elimu ya usalama barabarani zinastahili kupongezwa na kuigwa na makumpuni mengine ili kuchochea usalama wa Watoto wetu waendapo na watokapo mashuleni.

ASP Maira alisema aliongeza kuwa “Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani tupo Pamoja nanyi kwenye jambo hili na katika kutoa elimu ya usalama barabarani pamoja na kuzijua sheria, kanuni na taratibu za barabarani kwa wanafunzi na watumia Barabara wote. Aidha, tumefurahia kujua kwamba mradi huu pia unalengo la kutimiza mapendekezo ya kuboresha hali ya usalama kwa wanafunzi wa shule iliyoshinda kama trulivyopata kuona kwenye filamu ya wanafunzi hao. Pia niwatakie kila la heri washindi hawa kwenye hatua nyingine ya shindano ambalo wanatarajia kuingia, nawasihi muiwakilishe Tanzania vizuri na mungae Pamoja na kushinda ngazi za shindano la VIA Creative zijazo.”

Akilizungumzia shindano hilo, Mkurugenzi wa Sheria na Mahusiano wa TotalEnergies Tanzania, Getrude Mpangile, amesema Shindano la VIA Creative ni shindano linalolenga wanafunzi wa shule za msingi wa miaka 4 -19 kwa lengo la kuwapatia elimu ya usalama barabarani kwa njia ya sanaa ya michoro, muziki, maigizo na mashairi na kisha kuwapa fursa wanafunzi hao kuelezea uleewa wao na mapendekezo yao ya usalama barabarani kwa njia ya michoro na maigizo.

VIA Creative ni mradi ulioanza mwaka 2022 ambao tangu mwaka huo zaidi ya wanafunzi 22,000 wamefikiwa na mradi huu na kuweza kujenga klabu za mabalozi wa usalama barabarani kwenye shule 100 jijini Dar es Salaam na Bagamoyo. Mwaka huu mradi huu wa VIA Creative umewafikia wanafunzi 6000 kutoka shule za msingi Makuburi, Ubungo NHC, Buza, Jangwani, Ugindoni na Uzuri zilizopo jijini Dar es salaam na kuendeleza uundaji wa klabu za mabalozi wa usalama barabarani.

Paskali
 
Hongera sana Mama Samia kwa kuijali elimu ya watoto wetu

Nani kama Mama? Mama Samia Hoyeee

Mitano tena kwa mama yetu
 
Nimekumbuka mbali, nimesoma hii shule darasa LA pili na tatu, miaka ya 90!
Enzi, hizo, natembea kutoka makuburi mpaka river side, nauli Sina, nimeishakula, siku nikiwa nimechoka, napanda hekarusi, nikifika kituoni,nachomoka faster kabla sijalipa, mabibo hostel, ulikuwa uwanja na Mashamba ya mpunga,tumecheza sana cha ndimu! Kipindi hicho hakuna mitandao,wala simu, lakini michezo yetu ile ya kibaba baba, nikifika gori LA adui kila mechi!sasa hv si balaa
 
Wanabodi,
Hili Kampuni kubwa la Mafuta nchini Tanzania kuliko makampuni yote, linaendelea kutandaza wema wake kwa Watanzania, sasa linajenga ukuta kuizunguka shule ya Ubungo Makuburi.
Dar es Salaam, Octoba 30, 2024 Na Mwandishi wetu Shule ya Msingi Ubungo Makuburi, Kujengewa Uzio Na TotalEnergies, Kufuatia Ushindi wa Shindano VIA Creative.

Shule ya Msingi ya Makuburi, imejipatia zawadi ya kujengewa uzio kuizunguka shule hiyo, utakaojengwa na kampuni ya TotalEnegies Marketing Tanzania Limited, baada ya shule hiyo kuibuka bingwa kwenye Shindano la kimataifa la "VIA CREATIVE" kwa kutwaa nafasi ya kwanza.

Ahadi hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, Mamadou Ngom kwenye hafla ya kukabidhi tunzo kwa wanafunzi walioshinda kwenye msimu huu wa tatu wa VIA Creative ilifanyika kwenye ofisi za TotalEnegies Marketing Tanzania Limited jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, ambapo shule ya msingi ya Makuburi Primary school iliibuka mshindi wa kitaifa wa shindano hili na muwakilishi wa Tanzania kwenye ngazi ya kimataifa mnamo mwezi Novemba 2024 kule jijini Paris, na itazawadiwa kwa kujengewa ukuta kutimiziwa changamoto ambayo wanafunzi hao waliomba kwaajili ya kuboresha usalama wao barabarani kwa kupitia programu hii ya VIA Creative.

Mmadou Ngom alisema, “Tunayo furaha kubwa kuwa hapa leo tukusherehekea mafanikio ya mabalozi wetu wa usalama barabarani kupitia mradi wa VIA Creative amabo tumeshirikiana na Nafasi Art Space ambao wamekuwa wakiwapatia wanafunzi hawa elimu ya usalama barabarani kwa kupitia sanaa. Kupitia mradi huu tumeweza kuunda klabu za mabalozi barabarani 120, 20 kutoka kwenye kila shula. Pia wanafunzi hawa wameweza kutoa mapendekezo yao ya jinsi ambavyo usalama wao wa barabara unaweza kuboreshwa nasi tutatekeleza mapendekezo hayo kwa shule ya msingi ya Makuburi ambao ndio wa shinda wa kitaifa wa shindano hili kwa mwaka 2024.”

Mgeni rasmi, Mkuu wa Idara ya Mafunzo ya Trafiki Kinondoni, A.S.P Rose Bernard Maira aliwapongeza TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, TotalEnergies Foundation Pamoja na Nafasi Art Space akisema, “Nawapongeze washika dau waliowezesha mradi huu wa VIA Creative, yani TotalEnergies Foundation, TotalEnergies Marketing Tanzania Limited Pamoja na Nafasi Art Space, juhudi zenu na mafanikio yenu katika kutoa elimu ya usalama barabarani zinastahili kupongezwa na kuigwa na makumpuni mengine ili kuchochea usalama wa Watoto wetu waendapo na watokapo mashuleni.

ASP Maira alisema aliongeza kuwa “Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani tupo Pamoja nanyi kwenye jambo hili na katika kutoa elimu ya usalama barabarani pamoja na kuzijua sheria, kanuni na taratibu za barabarani kwa wanafunzi na watumia Barabara wote. Aidha, tumefurahia kujua kwamba mradi huu pia unalengo la kutimiza mapendekezo ya kuboresha hali ya usalama kwa wanafunzi wa shule iliyoshinda kama trulivyopata kuona kwenye filamu ya wanafunzi hao. Pia niwatakie kila la heri washindi hawa kwenye hatua nyingine ya shindano ambalo wanatarajia kuingia, nawasihi muiwakilishe Tanzania vizuri na mungae Pamoja na kushinda ngazi za shindano la VIA Creative zijazo.”

Akilizungumzia shindano hilo, Mkurugenzi wa Sheria na Mahusiano wa TotalEnergies Tanzania, Getrude Mpangile, amesema Shindano la VIA Creative ni shindano linalolenga wanafunzi wa shule za msingi wa miaka 4 -19 kwa lengo la kuwapatia elimu ya usalama barabarani kwa njia ya sanaa ya michoro, muziki, maigizo na mashairi na kisha kuwapa fursa wanafunzi hao kuelezea uleewa wao na mapendekezo yao ya usalama barabarani kwa njia ya michoro na maigizo.

VIA Creative ni mradi ulioanza mwaka 2022 ambao tangu mwaka huo zaidi ya wanafunzi 22,000 wamefikiwa na mradi huu na kuweza kujenga klabu za mabalozi wa usalama barabarani kwenye shule 100 jijini Dar es Salaam na Bagamoyo. Mwaka huu mradi huu wa VIA Creative umewafikia wanafunzi 6000 kutoka shule za msingi Makuburi, Ubungo NHC, Buza, Jangwani, Ugindoni na Uzuri zilizopo jijini Dar es salaam na kuendeleza uundaji wa klabu za mabalozi wa usalama barabarani.

Paskali
Wamefanya jambo jema,ila wangeenda hatua mbali zaidi kwa Majiji yote nchini na baadae Tanzania nzima.
 
Back
Top Bottom