Ile kashfa ya kumpiga mama mpaka akazimia na kulazwa tuliambiwa ni mambo ya ndani.afanye hivyo Trump uone kama urais hautakomea hapo
View attachment 465950 Nimeangalia video ya Michelle Obama wakati akiwaaga wamarekani kupitia wanafunzi wa chuo kikuu...Hotuba ile aliyoitoa yule mwanamama maneno aliyoongea ni wachache sana duniani hata wenye elimu kiwango change phd wake kwa waume wanaweza kuitoa (nikijaaliwa nafasi nitaweka tafsiri yake hapa kwa tafsiri ya kikwetu.
Ni mojawapo ya hotuba bora kabisa kuwahi kutokea miaka ya hivi karibuni duniani, hotuba ya kutia hamasa kutia moyo kuamsha uzalendo na matumaini kujiamini na kujenga uwezo wa kutenda na kufikiri kwa njia chanya zaidi. Uhuru wa kujieleza matamanio ndoto mitazamo na hata maono
Niliwaona wazungu wakitokwa na machozi, ni hotuba inayopinga kunyanyapaa na kujinyanyapaa.
Nikakukumbuka hotuba za viongozi wetu wa kiafrika zilizojaa ubabe vitisho na kuwajenga watu kuishi kwa woga na kutojiamnini.
Tunajenga Taifa gani hili? Hatuwezi kuiga kwa Michelle?
PogbaView attachment 465951
Maneno kama haya yanaweza kutamkwa na kiongozi gani wa kiafrika? Mugabe? Oh no please Kagame? My God! Museveni? The rest?
Tetetete uchochezi
swissme
mi siimo ntakuchanjia Laki Moja Kati ya milioni 7
Kupitia Chanzo Cha Matatizo?
mi siimo ntakuchanjia Laki Moja Kati ya milioni 7
Sasa kamanda hiyo hotuba imekuletea ugali mezani kwako?View attachment 465950 Nimeangalia video ya Michelle Obama wakati akiwaaga wamarekani kupitia wanafunzi wa chuo kikuu...Hotuba ile aliyoitoa yule mwanamama maneno aliyoongea ni wachache sana duniani hata wenye elimu kiwango change phd wake kwa waume wanaweza kuitoa (nikijaaliwa nafasi nitaweka tafsiri yake hapa kwa tafsiri ya kikwetu.
Ni mojawapo ya hotuba bora kabisa kuwahi kutokea miaka ya hivi karibuni duniani, hotuba ya kutia hamasa kutia moyo kuamsha uzalendo na matumaini kujiamini na kujenga uwezo wa kutenda na kufikiri kwa njia chanya zaidi. Uhuru wa kujieleza matamanio ndoto mitazamo na hata maono
Niliwaona wazungu wakitokwa na machozi, ni hotuba inayopinga kunyanyapaa na kujinyanyapaa.
Nikakukumbuka hotuba za viongozi wetu wa kiafrika zilizojaa ubabe vitisho na kuwajenga watu kuishi kwa woga na kutojiamnini.
Tunajenga Taifa gani hili? Hatuwezi kuiga kwa Michelle?
Na ameweka wazi kuwa alipigania kwa maslahi binafsi !!! What a load of stupidityViongozi wa Africa wakishachaguliwa na kuyapima madaraka yao wanajiona mungu watu..
Mwingine hata kama amepewa mamlaka ya kukamata tu basi utasikia akijisifu "nikisimama mimi ni mungu amesimama" hovyo kweli!
Huko nchi jirani kuna mmoja hadi leo ni mpigania uhuru na sio mtumishi wa wananchi!