Kwa upande wa mziki na business ni sifa kubwa sana. Maana makampuni wanaotaka promotion wengi wanaangalia msanii wenye followers wengi kwenye social network.Maskini!! Kwa hiyo ukiwa na followers wengi nayo sifa!!?
Kile kitiki (verified acc) ni kwa watu/kampuni/shirika maarufu/muhimu ktk jamii,na chenyewe hakijalishi wingi wa followers ulionao,angalia accounti za Idrissa,Ommy Dimpoz na V.money ( hawa ni verified acc, simtaji DIAMOND maana yeye alikipata tangu alipokuwa na followers 1m.) halafu kaangalie kwa hawa hapa,Wema,Zari,Joketi,Shishi, Wolper,Kiba,Aunti ezekiel na Lulu n.k ( hawa wote wanafollowers kibao lakini bado acc zao haziko verified)hahahahahahah.... Kile kitiki kinamaanisha verified account na sio uwing wa followers
Hayo maelezo yako yanahusiana vipi na Shishi Baby kuwa na wafuasi wengi?Kile kitiki (verified acc) ni kwa watu/kampuni/shirika maarufu/muhimu ktk jamii,na chenyewe hakijalishi wingi wa followers ulionao,angalia accounti za Idrissa,Ommy Dimpoz na V.money ( hawa ni verified acc, simtaji DIAMOND maana yeye alikipata tangu alipokuwa na followers 1m.) halafu kaangalie kwa hawa hapa,Wema,Zari,Joketi,Shishi, Wolper,Kiba,Aunti ezekiel na Lulu n.k ( hawa wote wanafollowers kibao lakini bado acc zao haziko verified)
Nimeongezea nyama kwenye uzi wa mtoa mada, vipi hairuhusiwi kuweka maelezo ya nyongeza .................. au kuna sehemu nimekugusa .........basi nisamehe bure.Hayo maelezo yako yanahusiana vipi na Shishi Baby kuwa na wafuasi wengi?
Hayo maelezo yako yanahusiana vipi na Shishi Baby kuwa na wafuasi wengi?
Umeongezea sawa na hujagusa kitu chochote lakini haiondoi kwamba Shishi Baby anawafuasi wengi kwnye Insta kuliko wasanii wote wa muziki Tanzania katika anga za kimataifa.Yemi Alade yupo na Laki saba na ushehe. Shishi Baby yupo na millioni moja na laki tano kuelekea laki sita akifukuziwa kwa mbaaaali na Vanessa Mdee. Wewe hulioni hilo?Nimeongezea nyama kwenye uzi wa mtoa mada, vipi hairuhusiwi kuweka maelezo ya nyongeza .................. au kuna sehemu nimekugusa .........basi nisamehe bure.
Tanzanian sweetheart ni mwanamuziki pia..Nyimbo zake uwa anazisikiliza chumbani..Ila soon ataziachiaTunaongelea wanamuziki. Sepe sio mwanamziki.
Ni kweli Shishi beibe ana-followers wengi sana kwa wanamuziki wa kike karibia Africa nzima heshima kwake.Umeongezea sawa na hujagusa kitu chochote lakini haiondoi kwamba Shishi Baby anawafuasi wengi kwnye Insta kuliko wasanii wote wa muziki Tanzania katika anga za kimataifa.Yemi Alade yupo na Laki saba na ushehe. Shishi Baby yupo na millioni moja na laki tano kuelekea laki sita akifukuziwa kwa mbaaaali na Vanessa Mdee. Wewe hulioni hilo?
Kuwa na followers wengi Insta kuna kuongezea thamani ya acc yako kwenye matangazo utakayotoa.Wafuasi wa Insatagram wanalipa shilingi ngapi kwa mwezi???
Duc In Altum.