muhinisugi
Member
- Apr 25, 2017
- 43
- 34
Pesa zote zakula anazitoa Kwa wanaume hivyo atambue kuwa bila mwanaume yeye hayupo,
ndio maana tunazisaka kila kukichaMambo ya pesa huwa yanatuumiza sana vidume.
Yaani hapo ni shida..
1. Huwa wanasemaga wanalipia mateso wanayoteswa wanawake wengine.....Kwa hiyo adhabu za kuwapa waume wa wanawake wengine, anambebesha mumewe
2. Wana inferiority complex, hivyo kila anachofanya atataka akuonyeshe yeye ni nani
KUZIDIWA SHULE, KIPATO NA MADARAKA NA MKEO, NI ISHU SANA AISEE
Kweli. Ni shiiiida!!!Hahahaaaa....wanawake wengine bana!
Unamkuta wala siyo 'beauty queen' lakini anajifanya kuendekeza pesa utadhani yeye ni Cindy Crawford.
Mwingine unakuta anakwambia eti 'mwanaume wangu huwa ananipa kiasi hiki au alikuwa ananipa kiasi hiki' lakini ukimwangalia alivyo unabaki unaguna na kujisemea kimoyomoyo 'hmm..hivi anasema kweli huyu au ananipiga fiksi tu....who would honga money for that!!?'.
Bottom line for me is...if you don't like me for me you might as well lose my number and keep it moving...
Kwa sababu, kwa asili wanawake sio viongozi . ni mifumo mibovu ya kidunia ndio inawafanya kuwa viongoziHivi kwa nini wanawake wakifanikiwa kabla ya mwanaume wanakuwa jeuri sana
Mkuu......Pamoja na kwamba katumika sana lakini ni mtamu kweli na anajituma balaa
Njia zao, sio zenu! Hilo kwanza utambue!Hivi hawa wanaume wanapataje pesa sisi wanawake tushindwe?
AlaaKwa sababu, kwa asili wanawake sio viongozi . ni mifumo mibovu ya kidunia ndio inawafanya kuwa viongozi
Ujumbe wa shilole umefika mahala pakeHata iweje mwanaume hawezi shuka thamani atabaki kuwa dume la mbegu,mwanamke yupo kwa ajili yakutumiwa na mwanaume ni utukufu wa Mungu