Shilole: Mimi ndiye mwanamuziki mrembo zaidi kwenye muziki

Hawa waone kwenye TV na picha za kuedit mkuu, ukiwaona macho kwa macho utashangaa.

Mkuu umesema kweli, aisee sio hao akina shilole tu, wewe ukimuona mtu yeyote kapost picha mtandaoni ichukulie poa tu kwa sababu ukikutana naye live unaweza kudhani ni mapacha kumbe ndo yeye, camera za smartphone za bei kali zinadanganya sana.
 
Ame expire tayari, yeye anafikiri uzuri ni kule kujichubua na kuota ndevu....Bongo kuna vitoto bwana, wacha kujipa ujiko wakati watu washakuchoka. Tuache tujipigie warembo sie hatutaki makombo ya bongo fleva na ustaa uchwara wao.

Mbona ni nuhu mziwanda tu, hakuna mtu mwingine aliyewahi kuhusiana naye miongoni mwa wanabongo fleva.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom