Shilole acha kununua vijana na kuwatumikisha kingono

Acha tu awanunue si hawataki kufanya kazi, shule kichwani hamna basi wanaona hapo ndiyo wamepatia maisha.
 
Sidhani kama hao vijana wa shilole wanaona ni utumwa nnahisi ni hisia zako tu, halafu kupenda wapendane wao kuumia uumie wewe, sio bure utakuwa unaugonjwa wa wivu
 
Back
Top Bottom