BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,741
- 6,557
Kenya imetajwa kama nchi ambayo pesa yake inaimarika dhidi ya USD kwenye nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.Siku za hivikaribuni shiling ya kenya imenza kuimarika sana baada ya kuyumba sana.
Hii imepelekea bei ya mafuta kushuka sana, na pia, hata shirika ka umeme la Kenya leo limeshusha bei ya umeme na sio hivyo tu pia wamiliki wa Mabasi wameshusha nauli.
Hii shiling yetu ni wapi tunakwama kwa sababu inapaaa tu haishuki kamwe.Tunakwama wapi? au tumewekeza sana kwenye uchawa?