Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,222
Kama hana mamlaka aliwezaje kuingia ofisini.? Wewe unaweza kuvamia ofisi ya clouds huku unasindikizwa na wanajeshi?
ohooooo...kwahio kwa sababu simply anasindikizwa na wanajeshi ana ruhusa ya kuingia popote???
Maaan
Next time atakuja kumwingilia mke wako wakati akisindikizwa na wanajeshi na wewe utabaki unachekelea tu.
Hii ni nchi ya kidemokrasia na inaongozwa na sheria....Mtu hawezi kuja tu kuku harass kwenye kazi zako bila sababu