mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,843
- 5,230
Si ni bora angekuwa mwanamke wa kueleweka sio hiyo bibi.
Naona anataka kujitupa baharini siku siyo nyingi, Tuna wanawake wengi nchini wanaweza kutupatia hisia za Mapenzi ila si huyu Bibi.
Ujumbe umefika na asiopokuelewa basi itakuwa ni kweli anakaribia kujitupa baharini hivi karibuni.