Mm nashangaa watu wanavyotokwa na povu kisha bashite huyu jamaa anajua kukwepa mishale kweli.
Kwa mf wakaamua kuaanza uhakiki wa wakuu wa mikoa, wilaya, mawaziri, wabunge na madiwani bac bwana bashite anaweza akatoa cheti kimoja tu cha darasa la saba na akapona maana sheria inatamka wazi sharti la kuwa na wadhifa wake ni kujua kusoma na kiandika tu bac vingine vyote ni mbwembwe tu