Sheria ya Utumishi wa umma No.2 ya 2002 inawatambua wakuu wa wilaya/mikoa kama watumishi wa umma

Kama mawaziri siyo watumishi wa umma basi warudishe nyumba serikali walizouziwa kama watumishi wa umma. Walengwa wa kuuziwa nyumba zile walikuwa watumishi wa umma.
Màjibu ya kukurupuka kwa ajili ya kulinda uovu wa baadhi ya watu.ni kawaida ya wasio haki.
 
Mm nashangaa watu wanavyotokwa na povu kisha bashite huyu jamaa anajua kukwepa mishale kweli.

Kwa mf wakaamua kuaanza uhakiki wa wakuu wa mikoa, wilaya, mawaziri, wabunge na madiwani bac bwana bashite anaweza akatoa cheti kimoja tu cha darasa la saba na akapona maana sheria inatamka wazi sharti la kuwa na wadhifa wake ni kujua kusoma na kiandika tu bac vingine vyote ni mbwembwe tu
Huku juu anaitwa sauli huko chini alimaliza kama daudi.sasa itakuwaje hapo ?
 
Lete kifungu kinachosema wawe na degree
IMG-20170430-WA0026.jpg
 
Back
Top Bottom