K WA NINI ULIKOPA TO THE MAXIMUM?
Weka hiyo sheria hapa tuione! Kwa upande wangu kwenye posts za nyuma nimeweka hapa vigezo kutoka BancABC na Bank Of Africa!!!Hoja ni kuwa Sheria inamtaka mfanyakaz abakiwe na 1/3 ya mshahara chini ya hapo ni kosa
Nan mhutu sasaWahutu huwa wanawaza kuua tu usishangae katiba imekanyagwa chini
Weka hiyo sheria hapa tuione! Kwa upande wangu kwenye posts za nyuma nimeweka hapa vigezo kutoka BancABC na Bank Of Africa!!!
BancABC wameeleza wazi monthly loan repayment haitakwi kuzidi 15% of net salary (very very far from 66.7% unayoisema wewe) na BOA loan shouldn't exceed 1/3 of the net salary (again very far from 66.7%) na NMB shouldn't exceed 40% of take home!!!
And you know what, hao NMB wameanza ku-violate hiyo sheria hivi sasa manake zamani walikuwa very strict to a maximum of 33.3% (1/3) kwa sababu enzi hizo nilikuwa NMB kwahiyo nafahamu ninachokiongea!!!
Sasa ukiangalia figures zote hizo zinakaribiana na 1/3 kuliko hiyo 2/3.
So, hata usipopata sheria, hebu niwekee angalau bank moja yenye condition ya 2/3!
NOTE: Usiweke microfinance institutions like Bayport... hao watu wanai-violate sana hiyo sheria!!!
Mbona nimeshasema BoT?! Na kama ILO ndo wanasema 2/3 basi ni BoT ndio wana uchungu na wafanyakazi kuliko hao ILO including local labor laws!!!Wewe inazungumzwa Sheria za mabenki au Sheria za kazi?Sheria za kazi(staff regulation) ambayo imetokana na zile za ILO zinamtaka mfanyakazi abakiwe na 1/3 ya mshahara baada ya makato
Mbona nimeshasema BoT?! Na kama ILO ndo wanasema 2/3 basi ni BoT ndio wana uchungu na wafanyakazi kuliko hao ILO including local labor laws!!!
Msingi wa makato kutozidi 1/3 ni kutompa mzigo mfanyakazi ambao unaweza kusababisha inefficiency kazini!! Kwa nchi kama Tanzania ambayo mishahara ni midogo, kama unaruhusu deduction up to 2/3 unamaanisha mwenye take home ya 300K akope tu hata akibaki na 100K poa tu!!! BoT kwa kuona hilo ndo maana ikaweka ceiling ya 1/3 unless iwe wamebadilisha sasa!!
Na kama hawajabadilisha, na kwa kuwa mkopeshaji mkuu ni mabenki; basi mabenki yatafuata sheria ya BoT haidhuru hata kama watai-violate lakini hawawezi kuifuata ya ILO ingawaje wangeipenda sana hiyo ya ILO kwa sababu inazi-favor lending banks badala ya kumlinda mfanyakazi!!!
narudia nchii hii haina vyama vya wafanyakaziSerikali ilitunga sheria kuwa mtumishi wa umma lazima abakize 1/3 ya mshahara wake, benki na taasisi zingine zisikate zaidi ya 1/3 ya mshahara wa mtumishi wa umma.
Lakini cha kushangaza serikali yenyewe imewakata watumishi mishahara yao chini ya 1/3 maanake ni kwamba sheria hii imekiukwa na kuvunjwa, sasa ikiwa serikali unashindwa kulinda sheria ambazo imetunga sisi wananchi tutafanya nini?
Alikopa wapi?K WA NINI ULIKOPA TO THE MAXIMUM?
Ihope hapa huzungumzii hizi microfinance institutions kv Bayport and the like ambao wamekuwa waki-abuse sana hii sheria! Ukienda kwao, wao wanakutungua tu... si umetaka mwenyewe!
Chukulia BancABC kwa mfano, hizi ndo requirements zao:
View attachment 473491
Bank Of Africa (Tanzania) nao:
View attachment 473492
Kimsingi, lengo la hiyo sheria ni kutomuumiza mfanyakazi! Sasa nchi yenye mishahara midogo kama hii... assume mtu mshahara wake ni 300K halafu uruhusu abaki na angalau 100K!!! Ndo pale kama ni mfanyakazi wa serikali, unakuta mtu hatulii ofisini kwa sababu hawezi ku-survive na 100K!!
Acha ujinga,hio 15%imekuja lini? Unawaza kutumia kucha?K WA NINI ULIKOPA TO THE MAXIMUM?
Hamna jinsi,inabidi mlipe,mmetutesa sana mlipokua chuoni,na hata hapa nilipo mimi sina hela hata ya kula huku UDOM lakini kuna ambao wamepokea boom la pili wanatutesa kama nini,ukimwambia manangu niazime hata buku tano ntakurudishia,analalamika kua hana ila akija demu rum akadeka kidogo kua sijala,hela unashangaa imetoka wapi,fasta msosi unaletwa.Nashukuru Mungu kwa kuungaunga hivyohivyo nakupiga kwangu pasi ndefu semester ya tano hiyo naifunika jumatano kwakufanya mtihani wa mwisho.Tukutane kwenye ajira endapo zitatoka pale ambapo salary slip zetu zitakua tofauti na wanaonufaika na mikopo.
Serikali ilitunga sheria kuwa mtumishi wa umma lazima abakize 1/3 ya mshahara wake, benki na taasisi zingine zisikate zaidi ya 1/3 ya mshahara wa mtumishi wa umma.
Lakini cha kushangaza serikali yenyewe imewakata watumishi mishahara yao chini ya 1/3 maanake ni kwamba sheria hii imekiukwa na kuvunjwa, sasa ikiwa serikali unashindwa kulinda sheria ambazo imetunga sisi wananchi tutafanya nini?
heri ulimi unaumba naona anafikiri kwa makalio !!Utakua unafikiri kwa kutumia ulimi, siyo ubongo!
Acha janja janja bhana... nimekuambia toa hiyo sheria ya 2/3 tuione au angalau kitu chochote kinachoashiria hiyo sheria!!! Sidhani kama utaiweka....Ok huko ni kwenu ila ofisini kwetu strictly balance after deduction is 1/3,kwaheri
Shikamoo!! Na ndio maana nilikuwa nawaambia waiweke lakini wakashindwa hivyo nikalazimika kuitafuta mwenyewe!! And remember, walikuwa wanasema 2/3 ndo maana nikasema basi hao ILO na Vyama vya Wafanyakazi hawana huruma na wafanyakazi!!!Kwenye sheria ya ya kazi nafikiri ni 1/4 si 1/3.
Kulipa ni lazima. Lakini wanachojadili watu hapa ni kiwango cha marejesho ya asilimia 15. Ni kikubwa sana, labda kama hujawahi kuajiriwa huwezi kuyajua mambo haya.Lipeni ili na wengine wafaidi matunda ya mikopo hiyo.....naiunga mkono serikali kwa hili...