Sheria inasemaje kuhusu kuundwa kwa nchi nyingine ndani ya moja

A state within a state hii topic ipo kwenye Public International law.Sikumbuki vizuri ila inawezekana nchi ikatokea ndani ya nchi nyingine e.g Djibouti ndani ya Somalia,Lesotho ndani ya South Africa.Swali lako ni zuri sana ila ili taifa liwe taifa ni lazima kuwe na sifa zifuatazo:population pressure,boundaries etc!!
 
Under International law forming a new state may be valid but treasonable under the domestic laws of the state.
No nation on the planet can stand idly and allow some ragtag movement try to vitiate its stability on the basis of international law. That's why when rebellions and revolution fails people are tried for treason and may be subjected to capital punishment, which in countries like Tanzania and U.S.A is death.

So you can form a new state by virtue of the Customary International law and The UN Charter, but again your claims need to be very valid in case you wish to procure international support from the United Nations Security Council and other states.
If your claims are not valid nations are not allowed to aid rebels who work against the interests of their nation.
This can be seen from the case of Nicaragua V United States of America, whereby the International Court of Justice was of the opinion that: Interference in domestic matters through aiding rebels and sending armed bands may amount to an act of aggression under International law.

Nadhani utakuwa umepata mwanga kidogo.
Zuleykha
 
A state within a state hii topic ipo kwenye Public International law.Sikumbuki vizuri ila inawezekana nchi ikatokea ndani ya nchi nyingine e.g Djibouti ndani ya Somalia,Lesotho ndani ya South Africa.Swali lako ni zuri sana ila ili taifa liwe taifa ni lazima kuwe na sifa zifuatazo:population pressure,boundaries etc!!

Inawezekana sana kama kutakuwa nchi hiyo itatiminiza vigezo vya kwenye The Monte-video Convention of 1933.
(1) Population
(2) Territory
(3) Government
(4) Sovereignty

Pia ni lazima kuwe na makubaliano kati ya nchi wahiska ili nchi itokee.
Kama Vatican City iliingia mkataba (The Lateran Treaty) or (Pacta Lateranensia) na Italia chini ya Benitho Mussolin mwaka 1929. Mkataba uliifanya Vatican iwe nchi kamili inayojitegemea ndani ya mipaka ya Italia.

Lakini bado kama nchi itataka kuwepo ndani ya mipaka ya nchi nyingine ni lazima ifanye makubaliano na nchi husika.
Bila hivyo inaweza kuleta vita au kosa la uhaini kama nilivyosema hapo juu.
Self-determination inaruhusiwa lakini kwa situation kama hii ni lazima mfanye makubaliono.

Lesotho imepata uhuru hata kabla ya Africa Kusini, hivyo aliyeiruhusu iwe nchi ni Muingereza hivyo haikuwa na haja ya kufanya mkataba na Serikali ya Makabulu ya Africa Kusini.
Lakini aisngekuwapo Muingereza basi ni lazima wangelazimika kuomba uhuru wao kutoka kwa Africa kusini.
Kama mkataba ukishindikana nchi inaweza ikatumia nguvu kama nilivyoeleza hapo juu kwenye mabandiko yangu yaliyopita.
 
"the law of succession" inahusika hapo, ngoja nizame chimbo, nikiibuka utafurahi!
 
Habari zenu wanajamvi
Nimepata shida sana katika kulijua hili na bado sijalijua vyema.Kama nchi inataka kujigawa na kuunda nchi nyingine hufuata sheria gani?Na ni mambo yapi yatakayozuilia nchi hiyo ishindwe kuunda nchi nyingine?
Naombeni sana mnisaidie katika hili .
Shukran
Mbona ni rahisi tu,sema watu wanashughulikia namna ya kuungana ili kupata kitu(nchi) moja
 
Mbona simple tu,hata wewe na kafimilia kako waweza amua kukaita nchi,halafu kama sikosei wewe utakuwa mchagga.

Kwani wachaga hawaruhusiwi kutaka kuanzisha nchi yao? Duniani kote watu wenye mwamko mkubwa sana kiakili na kiuchumi wanakuwa na nationalist sentiments kuliko wengine ndiyo maana leo hii Bavaria kule Germany, California na Texas kule USA, Quebec kule Canada, Padania kule Italy, Rif kule Moroco, Kabyle kule Algeria, Copts kule Egypt, Wachagga hapo Tanzania n.k n.k kote wanataka wawe nchi kamili zenye uhuru. Hakuna shida watu wau fulani kutaka kuwa nchi huru maana hata kwa mfano Mombasa kuwa Kenya hayakuwa matakwa ya wakaazi wa eneo hilo.
 
Mkuu kunasehemu katika andiko langu nimetaja wachagga?
 
Inawezekana sana kama kutakuwa nchi hiyo itatiminiza vigezo vya kwenye The Monte-video Convention of 1933.
(1) Population
(2) Territory
(3) Government
(4) Sovereignty

Pia ni lazima kuwe na makubaliano kati ya nchi wahiska ili nchi itokee.
Kama Vatican City iliingia mkataba (The Lateran Treaty) or (Pacta Lateranensia) na Italia chini ya Benitho Mussolin mwaka 1929. Mkataba uliifanya Vatican iwe nchi kamili inayojitegemea ndani ya mipaka ya Italia.

Lakini bado kama nchi itataka kuwepo ndani ya mipaka ya nchi nyingine ni lazima ifanye makubaliano na nchi husika.
Bila hivyo inaweza kuleta vita au kosa la uhaini kama nilivyosema hapo juu.
Self-determination inaruhusiwa lakini kwa situation kama hii ni lazima mfanye makubaliono.

Lesotho imepata uhuru hata kabla ya Africa Kusini, hivyo aliyeiruhusu iwe nchi ni Muingereza hivyo haikuwa na haja ya kufanya mkataba na Serikali ya Makabulu ya Africa Kusini.
Lakini aisngekuwapo Muingereza basi ni lazima wangelazimika kuomba uhuru wao kutoka kwa Africa kusini.
Kama mkataba ukishindikana nchi inaweza ikatumia nguvu kama nilivyoeleza hapo juu kwenye mabandiko yangu yaliyopita.
Cobblepots
Shukrani sana kwa ufafanuzi wote hakika nimekuelewa
 
Inspector ufafanuzi kidogo katika hilo
Nchi yoyote ni muunganiko wa kuanzia family(kaya),kijiji hadi mkoa,ukisikia Tanganyika ni muunganiko wa mikoa ambayo ni Tabora,Iringa,Kigoma nk,kabla ya muungano huo kila mkoa ulikuwa na utawala wake mfano Irunga Chif mkwawa,Tabora-Mirambo, nk,mfano mwingine mwalimu alisema nje ya muungano hakuna Zanzibar yaani kuna unguja na pemba inaonesha wazi kwamba pana muungano hapo kat ya pemba na unguja,hivyo basi ukitaka kuunda nchi ndani ya nchi huna budi kujitoa kwenye muungano uliopo kwa namna yeyotte,mfano Tanzania watu wa kanda ya ziwa watake kuunda nchi yao wanaweza tu
 
Nimekuelewa inspector
 
Back
Top Bottom