Hapana nataka nikaone tu zile sera zao na vitendo vao tu kiongozi alafu nakimbia na narudi kwa mungu
Kwa uchawi wa mazingaombwe ni sawa huu wa juu kwa ju , lakini ule halisi ni ngumu sana na hao wachawi utakaowaona hawatakuacha hivi hivi itabidi wa test nguvu yako na hapo ndio penye shida kuuLakini tayari wachawi wengi nitakua nishawajua na pia kama mtaani kwangu watakuepo basi watakua wananiogopa
OK poa tafanya hivyo napenda kupanua ufahamuMkuu mshana jr, jaribu kutafuta vitabu hivi(kanjul arshi na sihiril quhaan) ni vya lugha ya kiarabu sijui kama vipo vya chapa za kingereza. Utajua mengi kuhisiana na uganga/uchawi wa kutumia majini na mengne mengi tu!!
@jichawi umepotea mazima? Leo katika pita pita zangu nimekutana na haya makaburi ya zamaniKatika uchawi kuna miiko na taratibu zake ambazo zinaendeshwa kwa vikao maalum chini ya mkuu wao, unapokuwa mwanachama ni lazima utoe mtu wako wa karibu kila baada ya muda fulani ili "waungwana" wanywe damu, na hii ni mzunguko wa kutoa kwa wote.
Kuna mama yangu mkubwa yupo kwenye huu ugoma (uchawi) mpaka leo na alibaki na wanawe wawili tu baada ya wengine watano kuwatafuna, juzi hapa alifariki ghafla mwanawe mmoja katika hao wawili waliobaki na huyu aliyefariki ndiye tumaini lake pekee ki uchumi......yule aliyebaki ni mtu wa maskani tu.
Katika msiba ule yule mama alikuwa akilia kwa kusema "wenzangu mmenifanyaje! Mmenikomoa sivyo tulivyopanga"
Na siku zote wanawe wakifa hatoi chozi ila huyu wa juzi alilia mpaka akazirai.
Damu lazima inywewe na bado inahitajika, viumbe kama majini damu ndio chakula chao kikuu haswa wale walioasi, hawa hawatazami ukoo wala undugu ila tu wanachojali damu ipatikane, ingawa wakati mwengine anaweza kuja kwako kwa kutumwa na binadam mwenzako.