Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,787
- 153,406
Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili.
Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema kitu?
Kwa kifupi, huyu Sheikh ni muongo na mnafikia wa kupindukia na yeye ndio mtu hatari kabisa kuliko hao anaowatuhumu.
Sheikh Mwaipopo ni kweli hajui Maaskofu hawa wa Katoliki na wa KKKT waliwahi kutoa tamko kama sio matamko kukemea yaliyokuwa yanaendelea wakati wa utawala wa Magufuli ambae alikuwa mkatoliki?
Huyu Sheikh kama sio mnafiki, anawezaje kukumbuka mateso waliyofanyiwa wapinzani halafu akashindwa kukumbuka waraka wa maaskofu uliokuwa unapinga matendo maovu chini ya utawala wa Magufuli aliekuwa mkatoliki?
Hovyo kabisa hawa watu!