Sheikh Mwaipopo ni mnafiki wa kupindukia. Kama sio mnafiki, mbona hakutaja jinsi Kataliki walivyokemea utawala wa Magufuli?

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,789
153,410
Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili.

Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema kitu?

Kwa kifupi, huyu Sheikh ni muongo na mnafikia wa kupindukia na yeye ndio mtu hatari kabisa kuliko hao anaowatuhumu.

Sheikh Mwaipopo ni kweli hajui Maaskofu hawa wa Katoliki na wa KKKT waliwahi kutoa tamko kama sio matamko kukemea yaliyokuwa yanaendelea wakati wa utawala wa Magufuli ambae alikuwa mkatoliki?

Huyu Sheikh kama sio mnafiki, anawezaje kukumbuka mateso waliyofanyiwa wapinzani halafu akashindwa kukumbuka waraka wa maaskofu uliokuwa unapinga matendo maovu chini ya utawala wa Magufuli aliekuwa mkatoliki?

Hovyo kabisa hawa watu!
 
Huyu Sheikh mnafiki na muongo anasema maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na akasema mbona wakati wa Magufuli wapinza walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema kitu.

Kwa kifupi, huyu Sheikh ni muongo na mnafikia wa kupindukia.p na yeye ndio mtu hatari kabisa kuliko hao anaowatuhumu

Sheikh Mwaipopo ni kweli hajui Maaskofu hawa wa Katoliki na wa KKKT waliwahi kutoq tamko kama sio matamko kukemea yaliyokuwa yanaendelea wakati wa utawala wa Magufuli ambae alikuwa mkatoliki?

Huyu Sheikh kama sio mnafiki, anawezaje kukumbuka mateso waliyofanyiwa wapinzani halafu akashindwa kukumbuka waraka wa maaskofu uliokuwa unapinga matendo maovu chini ya utawala wa Magufuli aliekuwa mkatoliki?

Hovyo kabisa hawa watu!
Hili ni poyoyo na pandikizi la CCM ambalo huwa linatumika kuhamisha mijadala yenye maslahi makubwa kwa Nchi na Taifa kwa ajili ya kuiokoa CCM
 
Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili.

Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema kitu?

Kwa kifupi, huyu Sheikh ni muongo na mnafikia wa kupindukia na yeye ndio mtu hatari kabisa kuliko hao anaowatuhumu.

Sheikh Mwaipopo ni kweli hajui Maaskofu hawa wa Katoliki na wa KKKT waliwahi kutoa tamko kama sio matamko kukemea yaliyokuwa yanaendelea wakati wa utawala wa Magufuli ambae alikuwa mkatoliki?

Huyu Sheikh kama sio mnafiki, anawezaje kukumbuka mateso waliyofanyiwa wapinzani halafu akashindwa kukumbuka waraka wa maaskofu uliokuwa unapinga matendo maovu chini ya utawala wa Magufuli aliekuwa mkatoliki?

Hovyo kabisa hawa watu!
Ni lini Pengo na hao TEC waliwahi kwema Magufuli Kwa mauaji ya watu,kutekwa,kunyimwa.demokrasia nk ?

Hao wahuni wasipojua jasho la kutafuta hela wakome hivyo hivyo
 
acha upotoshaji gentleman,
maaskofu hasa wakatoliki hawakuwahi kumkemea hayati magufuli wala hawakuwahi kuthubutu kuingilia uhuru wa mahakama kwamba imuachilie mahabusu Fulani moja wanaompenda wao,

walichowahi kufanya ni kuandikia sijui ile ili kua ini ese au isnsha, ambayo ilikua haina athari zozote na baada ya hiyo ese kesho yake wakajazana ikulu wakiepeana tano za mguu kama vile hapakua na chochote kibaya nchini 🐒
 
Hivi ulijiridhisha usahihi wa taarifa yako kabla hujaandika haya iliyo andika?
Pasaka ya mwaka 2018 TEC walitoa waraka wa kukemea hayo usemayo.
Tafuta mitandaoni au maktaba utaona.
Ipo PDF humu humu JF ya huo waraka.
Unajidharaulisha mkuu.
 
Gentleman umesahau yaliyowakuta Askofu Rwemugizi wa katoliki Rulenge Ngara na Askofu Bagonza wa KKKT? Baada ya matamko yao na waraka wa kukosoa utawala Magufuli mkatoliki, si walinyan'ganywa paspoti zao na kuhojiwa uraia wao au ulisafiri comrade?
 
Unajifanya kusahau kwamba Hayati Magufuli alitofautiana na Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi kwa jambo gani?
 
Gentleman umesahau yaliyowakuta Askofu Rwemugizi wa katoliki Rulenge Ngara na Askofu Bagonza wa KKKT? Baada ya matamko yao na waraka wa kukosoa utawala Magufuli mkatoliki, si walinyan'ganywa paspoti zao na kuhojiwa uraia wao au ulisafiri comrade?
Huyo jamaa ni mnafikiri na yuko hapa kutetea mauji na watu kutekwa kwasababu yeye anafaidika na huu utawala.
 
Gentleman umesahau yaliyowakuta Askofu Rwemugizi wa katoliki Rulenge Ngara na Askofu Bagonza wa KKKT? Baada ya matamko yao na waraka wa kukosoa utawala Magufuli mkatoliki, si walinyan'ganywa paspoti zao na kuhojiwa uraia wao au ulisafiri comrade?
kwani gentleman,
ni kanisa ndilo lilinyang"anywa paspoti au mshukiwa moja wa uhalifu ndani ya kani hilo?

sifahamu chochote kuhusu huyo mropokaji kalikawe wa huko karagwe:NoGodNo:
 
Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili.

Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema kitu?

Kwa kifupi, huyu Sheikh ni muongo na mnafikia wa kupindukia na yeye ndio mtu hatari kabisa kuliko hao anaowatuhumu.

Sheikh Mwaipopo ni kweli hajui Maaskofu hawa wa Katoliki na wa KKKT waliwahi kutoa tamko kama sio matamko kukemea yaliyokuwa yanaendelea wakati wa utawala wa Magufuli ambae alikuwa mkatoliki?

Huyu Sheikh kama sio mnafiki, anawezaje kukumbuka mateso waliyofanyiwa wapinzani halafu akashindwa kukumbuka waraka wa maaskofu uliokuwa unapinga matendo maovu chini ya utawala wa Magufuli aliekuwa mkatoliki?

Hovyo kabisa hawa watu!
Mtu akishakuwa mdini na akili yako inapofuka hasa ukiwa na elimu ndogo au huna kabisa
 
Hivi ulijiridhisha usahihi wa taarifa yako kabla hujaandika haya iliyo andika?
Pasaka ya mwaka 2018 TEC walitoa waraka wa kukemea hayo usemayo.
Tafuta mitandaoni au maktaba utaona.
Ipo PDF humu humu JF ya huo waraka.
Unajidharaulisha mkuu.
Hakuna kitu,wamkemee mwanachama wao it was geresha ya kupaka Mafuta.

Who is TEC by the way
 
Back
Top Bottom