n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,274
- 6,887
Huyu siro anachokitafuta huko kwenye imani za watu atakipata.Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools.
Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika ukurasa wake wa twitter.
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1935628