Sheikh Ponda: Maimamu wamekutana kujadili tamko la IGP, tutakaa na Maaskofu tutoe tamko la pamoja

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
95,679
167,730
Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools.

Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika ukurasa wake wa twitter.

Maendeleo hayana vyama!

Ponda.JPG
 
Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools...
Tamko la Sirro linawalenga waislamu, wakristo wameingizwa kama cover tu kubalance.

Wote tunajuwa hakuna gaidi aliwahi kusikika akisema bwana asifiwe, bali ni takbiir na Allah Uhakbar.

Na hakuna mafunzo ya kareti makanisani bali kwenye madrasa na misikiti hasa hawa Markaz.
 
Haya yote ni kupoteza muda, dictators never heed to words, wanahitaji lugha moja tu! Ponda mnajisumbua. A second wave of independence struggle is inevitable
Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools...
 
Tamko la Sirro linawalenga waislamu, wakristo wameingizwa kama cover tu kubalance.

Wote tunajuwa hakuna gaidi aliwahi kusikika akisema bwana asifiwe, bali ni takbiir na Allah Uhakbar.

Na hakuna mafunzo ya kareti makanisani bali kwenye madrasa na misikiti hasa hawa Markaz.
Duuh
 
Acha uongo, miaka ya 1995 tulikuwa tunafanya mazoezi ya karate pale kanisa kuu la katoliki morogoro, opposite na hospital ya mkoa
 
Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools.

Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika ukurasa wake wa twitter.

Maendeleo hayana vyama!

View attachment 1935628
huyu IGP Siro akiendelea kuachwa anaweza kuingiza nchi kwenye migogoro ya kidini na hii call ya Sheikh Ponda kutaka kujadili azimio la pamoja juu ya kauli ya Siro nadhani vita ndio inaanzia hapo.

Lakini kwa vyovyote vile siro ataenda kujifunza nini kwa mfano kwenye darsa za somo la Nahau kule Misikitini, ni uchochezi anataka kuufanya na Mama samia kama hatashtuka ataingizwa chaka la nguvu kwenye utawala wake., ogopa sana migogoro ya kidini katika nchi, imani ni kitu chengine.

Si kila kitu unatakiwa uige kwa sababu umekuta nchi nyengine kwanza Siro kwanza alipaswa kusoma georafia ya Tz watu wake wana nini na wanahitaji nini na nini kinaweza kuleta shida., Rwanda ni nchi ndogo sana.,
 
Back
Top Bottom