Sheikh Ponda Ahoji Uhalali wa Serikali: Vitendo vya Mauaji na Utekaji vinavyokithiri nchini. Watu wanauawa, Wanatekwa. Maisha ya Kinyama

Nchi imefikia hadi watoto wadogo wa miaka 2 wanajua nchi haiko salama
Wanaagana na wazazi wao huku wanalia wakijua huenda watarudi au wasirudi
 
Bado tunasubilia pia Jembe jingine Dr Bagonza naye atoe ya kwake. Mwamakula tumemsikia na Tunawapongeza wote waliopaza sauti zao katika kukemea maovu yanayoendelea kwa sasa katika Taifa letu. Mungu anatutaka kuwalisha watu wake kiroho na kimwili pia.
Huyu kindakindaki LUCAS MWASHAMBA hatujamsikia kukemea utekaji na mauaji, yeye ni kusifia sifia tu!. Labda anaandaa UZI makini, tumpe muda!
 
Kwa mauaji haya ni wazi kabisa hatuna serikali Bali tuna Midori tu imeziba nafasi
 
Back
Top Bottom