Sheikh Mwaipopo anakwambia Somalia wale sio waislamu, kama ndio uislamu wenyewe basi kajionea

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
9,564
20,743
Kuna video hipo youtube akisimulia kuhusu alivyo kwenda somalia kuhubiri dini.

Roho za watu zimejivisha dini lakini sivyo ndivyo anavyo sema. Anasimulia alivyo tekwa na al shabab wakamwambia ubaki na ujitolee kusalisha ila mwenzake alimtonya kuwa ukisema mema watatumaliza.

Ilibidi kuanza kusema yale wanayo tumia magaidi kupambana na dini.

Kwa ili uislamu unabidi kujitafakari sana ndio maana saudia kaweka kitengo cha kupambana na magaidi wa dini yake.
 
Al shabab wapo haswali kabisa ni walevi na wezi wakubwa.
Wanadai ipo aya ya Alla inawaruhusu kulewa na kuvuta bangi vitani, na kubikiri kwa nguvu vibinti vidogo na kupora kwa jina lake!! Ha ha ha ha ha hatareee!!
 
Kuna video hipo youtube akisimulia kuhusu alivyo kwenda somalia kuhubiri dini.

Roho za watu zimejivisha dini lakini sivyo ndivyo anavyo sema.Anasimulia alivyo tekwa na al shabab wakamwambia ubaki na ujitolee kusalisha ila mwenzake alimtonya kuwa ukisema mema watatumaliza.

Ilibidi kuanza kusema yale wanayo tumia magaidi kupambana na dini.

Kwa ili uislamu unabidi kujitafakari sana ndio maana saudia kaweka kitengo cha kupambana na magaidi wa dini yake.
Inatisha sana huu ulaghai ndo misingi ya Dini yetu. Toka awali.
 
Wanadai ipo aya ya Alla inawaruhusu kulewa na kuvuta bangi vitani, na kubikiri kwa nguvu vibinti vidogo na kupora kwa jina lake!! Ha ha ha ha ha hatareee!!
Hamna 🤣🤣🤣ni matapeli hao ...Wanaendeshwa na mirungi.

Usiwe unaandika vitu kwa kejeli maana utakuja kuzoea ufanye mbele za watu ,yakukute yule aliyepigwa bastola...Nakupa kama ushauri maana naona uko busy na kitu ambacho hakikuhusu.

Hizi ni payo kuwa makini kijana!
 
Acha ujinga wako, unamtisha nani wewe, weeeeeeeee ukome!
 
Back
Top Bottom