MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,373
- Thread starter
- #201
Tuangalie baadhi ya hukumu zitolewazo na mahakama ya kadhi kwa raia,ujiulize je mahakama hiyo inafaa au la,na je uko tayari upewe adhabu kama hii?
Matukio hayo hayana mahusiano na Mahakama za kadhi. Hii ni vita kati ya Waarabu na Wazungu. Wote hao wanataja imani zao katika kutekeleza na kuhalalisha mauji wanayo yafanya. Lakini hiyo haina maana ndio inawakilisha dini husika.
Hebu angalia hii clip halafu kama wewe ni Mpalestina Umemkamata Muizraeli ungempa adhabu gani itakayo kuridhisha!
CC. Wakristo Wote!
Last edited by a moderator: