Sheikh Alhadi acha udini,mwamposa yupo sahihi hajavunja sheria

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,077
18,124
Wakuu.....naombeni mnisahihishe kama nakosea, binafsi mimi ni mwislam ila sijaona kosa la Mwamposa, analolifanya mwamposa kuwaombea waislam kuna ubaya gani?

Kosa la mwamposa liko wapi?Kuna siku mwamposa ashawahi kumlazimisha mwislam yoyote amfate kanisani?Kuna siku mwamposa ashawahi kuukashifu uislam kanisani kwake?

Mimi binafsi sijaona tatizo..Mbona simple?kama wewe unaona mwamposa anavutia sana hadi waislam kwenda kuombewa kwake why na wewe usitengeneze sehemu ya kutoa visomo na dua na wakristo wakaja kwako?

Ni wakristo wangapi wanaweza wakaenda kwenye dua na visomo mbona wenzetu hawajawahi kulalamika?Sisi tukienda kwa mwamposa unalalamika kwani mwamposa kavunja sheria gani?

Ninahisi vita ya alhadi na mwamposa kuna kitu kingine aisee nahisi sio suala hili, there is something behind, kuna mambo nayajua ila siwezi kutamka kuna mambo nayajua, kuna siku nitayapasua paa humu ndani kuhusu huyu alhadi watu mtashangaa.

Amini nawaambia mimi ni muislam lakini ni bora kwenda kwa mwamposa kuliko kuketi msikitini na kupewa mawaidha na sheikh alhadi kuna siku nitasema naam nitayamwaga humu inshallah ndo mtajuwa huyu mtu ni zaidi ya tumjuavyo.

Kuna kitu kingine kipo kati yake na Mwamposa sio suala hili,hili suala linatumika tu kama ngao ya kujiamini na hili linatengeneza chuki za kidini,hakuna kitu nakichukia maishani mwangu kama chuki za kidini, ni mambo ya hovyo kumchukia mtu kwasababu ya dini yake au kabila lake ni mambo mabaya sana

Namuomba tu sheikh alhadi aache kutumia mgongo wa dini kupigana vita vyake na kusukuma ajenda zake, Watanzania wote wana uhuru wa kuabudu popote watakako ilimradi wasivunje sheria.

Sheikh miaka yote upo Bakwata you have done nothing, hujaleta legacy yoyote, toka umeingiya BAKWATA hawajafanya lolote la maana sio elimu sio afya sio huduma za kiroho, yaani waislam sisi na Bakwata yetu hatuna cha maana cha kujivunia sio shule, sio hospital tuna bahati mbaya sana aisee

Kwa hili la Mwamposa alhadi aache uchochezi na chuki za kidini

Ngamarsa
 
Kwani kimetokea nn jana kuna sehm nlipta nkawa naskia n kwenye redio kama wanaongelea hii habari nijuzeni wadau
 
Wew Ni mkiristo Kam mm tu sema nn unamkubali mwamposa Kam mm tu so unataka kuchukuwa upande kuwa we w Ni muislamu ila umekozeaa wewe Ni mkkkt mtakatifu haswa
najuwaa .waislamu Kuja kwa mwamposa Ni kutaka wenywe Wala hawajasukumwa Ni uchawi wao na uloz unawasumbu mnk waislmu Ni wachawi mno kila 20 shuhuda za mwamposa 15 Ni waislmu na Mara nyingi ueleza jins alivyo aribiwa na uchawi

Sent from German technology JamiiForums mobile app

Kama mnabisha Niko tmk nhc hapa nimetulia
 
we tangu lini ukawa muislam?
 
Kinachomkera Alhaji ni Mtu kutumia dawa za Kiganga Kwa Jina la Yesu.

Huwezi kuwapa watu muwa halafu ukawaambia Muwa huu ni mtamu Kwa Jina la Yesu wakati mua unajulikana kuwa ni mtamu Kwa mtu yeyote.

Unaweka bango kubwa Mtakanyaga mafuta mtapona. Njooni tumsifu Mungu. Yesu anaponya.
Mtaombewa na Nabii na kufunguliwa.

Alhaji anajua kuwa Kuna mchanganyiko wa Kiganga kwenye Yale mafuta hivyo wasiwadanganye watu kuwa wameponywa Kwa sababu ya Imani ya Kikristo.

Wasitumie dini kufanya biashara ya dawa za kufukuza nuksi,majini na magonjwa.
Wahubiri watu kuacha dhambi.
Mahubiri ya kuacha dhambi yatapunguza hata panya rodi na mauaji na uhalifu mwingine
 
LOW I.Q IS A PROBLEM TO THAT SHEIKH..!
ASAMEHEWE DUNIA YA SASA WATU WENGI SANA WANAMTAFUTA MUNGU/ALLAH NA DINI HAZIWAZUHII WALA SIO MAGETI,NDIO MAANA WAPO WAKRISTO WANAINGIA KWENYE UISLAM NA WAISLAM WANAINGIA KWENYE UKRISTO,THAT MEANS KILA MMOJA ANATAFUTA NI WAPI NAFSI YA ITASALIMIKA,BUT LET TELL TRUTHS,DINI YA KWELI NI UPENDO,UTU,HESHIMA,STAHA,KUTAKANA RADHI,KUSAIDIA WENYE SHIDA,MAYATIMA,WAJANE,KUTOA SADAKA,NA MEMA YOTE.KAMA AFANYAVYO RAIS WETU #SSH.
n.b. ukizingatia hizi dini tumeletewa,kwanini zitugombanishe sisi watu weusi.
#PLAY SAFE.
 
Shida ya hawa ma shehe ubwabwa..wana akili ndogo sana..hawana exposure kilicho wajaa kwenye bongo zao ni majini..ulozi..utapeli chuki na fitna.

Ila kwa huyu shehe najiuliza aliwezaja kuwa shehe mkuu wa dsm yani waislamu wa dsm walikosa kabisa mtu mwenye sifa na kuweka huyu kanyaboya.

Anyway tunamuombea naye akaknyange mafuta apate uponyaji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sheikh Alhad Ni Wakudumu Kwenye Hiyo Nafasi
Apishe Wengine Waongoze Jambo
 
wewe sio muislamu..muislamu wa kweli anayefuata mafundisho yote Quran tukufu na sunah awezi kusema eti ni bora niende kanisani kuliko kukaa msikitini kusikiliza mawaidha ya uyu shekhe kisa uyo shekhe ana makandokando yake unayoyajua kwa sheria za Uislamu kitendo cha wewe kukanyaga kanisani na kumuamini mwamposa tu tayari wewe umeshatoka kwenye uislamu yani mahana yake ni kuwa ujayaamini yale yote aliyoletewa mtume muhamad na unakuwa miongoni mwa washirikina wanaoamini kuwa mwenyezi mungu ana mtoto na na utatu mtakatifu yani ni umeamini kuwa allah anawashirika..all in all wanaoenda kwa mwamposa waache waende wataenda kujibu wenyewe mbele ya mwenyezi mungu..
 
Acha kutisha watu wewe..si tulikubaliana Mungu hana dini acha watu watafute majibu ya maswali yao.

Ujinga wa wafia dini mmekaza mafuvu sana..kama wamekosa majibu ya matatizo yao huko kwenye vilinge vya mashehe unataka wafe tu wakati kwa jirani kuna suluhu ya matatizo.

Pole sana mfia dini..na hakuna wa kwenda kujibu huko unako kusema wewe.

Dini zimebaki kutisha watu...

#MaendeleoHayanaChama
 
wewe sio muislamu..muislamu wa kweli anayefuata mafundisho yote Quran tukufu na sunah awezi kusema eti ni bora niende kanisani kuliko kukaa msikitini kusikiliza mawaidha ya uyu shekhe kisa uyo shekhe ana makandokando yake unayoyajua kwa sheria za Uislamu kitendo cha wewe kukanyaga kanisani na kumuamini mwamposa tu tayari wewe umeshatoka kwenye uislamu yani mahana yake ni kuwa ujayaamini yale yote aliyoletewa mtume muhamad na unakuwa miongoni mwa washirikina wanaoamini kuwa mwenyezi mungu ana mtoto na na utatu mtakatifu yani ni umeamini kuwa allah anawashirika..all in all wanaoenda kwa mwamposa waache waende wataenda kujibu wenyewe mbele ya mwenyezi mungu..

Kweli kabisa mkuu kwanza huyo bwana imani yake bado ni dhaifu sana na sidhani kama huyu kiumbe ni muislam.
 
Wew Ni mkiristo Kam mm tu sema nn unamkubali mwamposa Kam mm tu so unataka kuchukuwa upande kuwa we w Ni muislamu ila umekozeaa wewe Ni mkkkt mtakatifu haswa
najuwaa .waislamu Kuja kwa mwamposa Ni kutaka wenywe Wala hawajasukumwa Ni uchawi wao na uloz unawasumbu mnk waislmu Ni wachawi mno kila 20 shuhuda za mwamposa 15 Ni waislmu na Mara nyingi ueleza jins alivyo aribiwa na uchawi

Sent from German technology JamiiForums mobile app

Kama mnabisha Niko tmk nhc hapa nimetulia
Duuuh
 
Back
Top Bottom