Shambulio la IDF limelemaza uzalishaji wa makombora wa Iran na kuzima ulinzi wa anga; utawala wa Iran washtuka

Hivi kiswahili ni kigumu sana!!, ebu tafuta % ya hao marubani wa 4, kwenye jumla ya marubani wote , maana nashindwa kuelewa shida yako ni kiswahili au hisabati?
Unabisha hukupigwa na vibikra 4 ambayo vilimlaza ayattolah kwenye bunker akiwa hoi? šŸ¤£
 
Mbona Iran walitoa picture ya hilo godauni, we kuona moto ndio unaona kipigo kikubwa katazame picture ni pembeni kabisa ya godauni. Wapi Iran alisema hakuna madhara alicho sema madhara madogo sana na pia kwanza alisema wamekufa askari 2 badaye akasema 4 leo kasema 10 hapo ndio uelewe Iran hafichi kitu hapo walio kufa inawezekana katika wale 16 walio umia.

Sa Israel ye mbona haruhusu waonyeshe kipigo anacho pokea šŸ˜„
 
Miezi mitatu iliyopita Iran wali-update rada zote za S-300 pamoja battery za kujikinga na makombora na walijiamini Sana wakifikiri Rada zitafanya kazi..
Ebu fikiria ndege za Israel zilifanya operation zaidi ya masaa mawili kwenye ANGA la iran
Hakuna ndege ya israel iliyoingia anga ya Iran,acha uwongo
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-27-21-35-11-688.jpg
    Screenshot_2024-10-27-21-35-11-688.jpg
    394.9 KB · Views: 2
We
Mashambulizi makubwa ya anga ya Israel nchini Iran siku ya Jumamosi yalilemaza uwezo wa Iran wa kuzalisha makombora ya masafa marefu katika pigo ambalo litakuwa gumu na linalochukuwa muda kurejesha, na kutoa vifaa muhimu vya nishati katika hatari ya mashambulizi ya siku za usoni kwa kuharibu betri za ulinzi wa anga zinazowalinda.

Mashambulizi hayo, ambayo shirika la utangazaji la Israel la Kan lilisema yalionyesha uwezo uliokuzwa kwa zaidi ya miongo miwili, yalionyesha uhuru mkubwa zaidi wa kufanya kazi kwa ndege za kivita za Israeli katika kushambulia Iran ikiwa mzozo wa sasa utaendelea kuongezeka, na vile vile kurudisha nyuma uwezo wa Tehran wa kurusha makombora kila wakati kwenye anga. Jimbo la Kiyahudi, ambalo Jerusalem inatazamia kuwa litatumika kama kizuizi dhidi ya mashambulio zaidi kwa serikali ya Kiyahudi.

https://www.timesofisrael.com/iran-...missile-production-disables-key-air-defenses/
Wewe umeelewa, Israel wametumia akili kubwa na wamefanikiwa sana kwenye kisasi chao, hata Tehran wenyewe walidhani wamepata hasara kidogo, kustuka kumbe wameshaharibu uwezo wa kuunda makombora na mifumo ya ulinzi wa anga.
 
Miezi mitatu iliyopita Iran wali-update rada zote za S-300 pamoja battery za kujikinga na makombora na walijiamini Sana wakifikiri Rada zitafanya kazi..
Ebu fikiria ndege za Israel zilifanya operation zaidi ya masaa mawili kwenye ANGA la iran
Technically Uki-destroy kile kinacholinda,kinacholindwa kinakuwa tayali kimeshakufa hata kama hakikuguswa.
Adui yako akiingia chumbani mwako,akakukuta umekoloma ila badala kukuua anaandika ujumbe na kuuacha kwenye mchago wako,muogope.

Rada za Iran zilikuwa zimeshakuwa weakened,Israel ilikuwa na nafasi ya kuifanya chochote Iran,but it wouldn't.
Uchaguzi huu wa marekani umezuia Maajabu mengi.
maana Israel ime-retaliate kwa condition flan flan na US.
 
Akili za pro Ayotollahs, wavaa vipedo, misuli na makobazi hazina tofauti na yule mtemi wa kusini, enzi za ukoloni, kinjekitile Ngwale, kwamba risasi zigeuke kuwa maji kwa kusema tu.Au yule waziri wa habari wa Saddam Hussein, Ali Sayaf, "Yaani Iraq inachapika yeye anadai wao ndio wanawachapa wavamizi, US & Co. Wote tunajua mziki wa ndege za kivita Chapa F-35. Yaani ndege 100 na drones zishambulie targets 20 huko Iran bila kuleta madhara? Yaani hata kama wamekula yamini ya kuleta propaganda, hii imekuwa too much šŸ¤”
 
Yule wa Iraq wakati anatangaza Mara ya mwisho kabla ajatangaza USA akaangusha jengo kwa mbali kidogo uku ananaangalia tokea hapo hakuonekana tenaaaaaa.
 
Miezi mitatu iliyopita Iran wali-update rada zote za S-300 pamoja battery za kujikinga na makombora na walijiamini Sana wakifikiri Rada zitafanya kazi..
Ebu fikiria ndege za Israel zilifanya operation zaidi ya masaa mawili kwenye ANGA la iran
Mwanangu huna akiliā€¦acha kuachangia mambo yaliyokuzidi. Zoea kujisomea ili ujifunze. Yaani ndege vita ikae angani masaa 2 kufanya mashambulizi? Duu! Ndege hubeba makombora machache ndiyo maana huenda nyingi.. na ni zoezi la haraka hakuna mfano.
 
Back
Top Bottom