TechTino Member Oct 16, 2016 71 25 Jun 12, 2017 Thread starter #22 Mkwaruu said: Mku eka moja ndo bei gani Click to expand... heka karbu na mto ni 5.5K na kawaida ni 4.5K
Mkwaruu said: Mku eka moja ndo bei gani Click to expand... heka karbu na mto ni 5.5K na kawaida ni 4.5K
P piompio Member Feb 25, 2017 98 44 Jun 12, 2017 #23 Augustinobelhamus said: heka karbu na mto ni 5.5K na kawaida ni 4.5K Click to expand... Unamaanisha 5500 na 4500 kwa lugha uliyoandika . mbona bei rahisi sana ?
Augustinobelhamus said: heka karbu na mto ni 5.5K na kawaida ni 4.5K Click to expand... Unamaanisha 5500 na 4500 kwa lugha uliyoandika . mbona bei rahisi sana ?
TechTino Member Oct 16, 2016 71 25 Jun 12, 2017 Thread starter #24 piompio said: Unamaanisha 5500 na 4500 kwa lugha uliyoandika . mbona bei rahisi sana ? Click to expand... ooh sorry tumezoea kusema kilo see ila hiyo na maanisha laki tano na hamsini
piompio said: Unamaanisha 5500 na 4500 kwa lugha uliyoandika . mbona bei rahisi sana ? Click to expand... ooh sorry tumezoea kusema kilo see ila hiyo na maanisha laki tano na hamsini
TechTino Member Oct 16, 2016 71 25 Jun 16, 2017 Thread starter #25 LIPO SHAMBA LENYE HEKALI 100 LINAUZA KWA SH 25 PIA YAPO MASHAMBA MENGINE AMBAYO YANAUZWA HATA KWA HEKALI 1(0744990530) UMBALI NI KM 15 KUTOKA MJINI
LIPO SHAMBA LENYE HEKALI 100 LINAUZA KWA SH 25 PIA YAPO MASHAMBA MENGINE AMBAYO YANAUZWA HATA KWA HEKALI 1(0744990530) UMBALI NI KM 15 KUTOKA MJINI