Shamba linauzwa heka 24.

JUKUMU

Member
Apr 5, 2009
85
39
Kwema wakuu kuna shamba linauzwa, lipo moshi karibu na nyumba ya Mungu, linafaa kulima vitu mbali mbali. Lina ukubwa wa hekari 24, bei ni 80m.
Karibu Dm
 
Back
Top Bottom