Shamba linauzwa Bagamoyo, lina hati!

Shamba liko bagamoyo sehemu gani?
kiromo
kerege
mapinga
fukayosi
matimbwa
ukuni
msata
kiwangwa
mataya
au bagamoyo ipi???
 
Mkuu hilo Shamba lako hupati mteja kwa sababu ya bei...bei kubwa sana kwa Mashamba ya Fukoyosi na hali halisi ya uchumi kwa sasa....legeza Mkuu unaweza pata mteja


Mkuu shamba ninauza kwa bei ya kutupa hiyo kutokana na sifa ya shamba lenyewe. Sina haraka nitapata mteja mapema tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom