BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 497
- 1,202
Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo.
Mpaka muda huu naandika hapa saa Tatu usiku huu ni kwamba tumekwama kwenye kituo cha Ngerengere tukiwa tunatokea Morogoro kuelekea Dar es Salaam.
Tangu saa Kumi na Moja jioni mpaka muda huu Treni imesimama hapa, maafisa wa humu ndani ya Treni wanatuambiwa kuwa kuna ishu ya kiufundi ndio tatizo.
Soma
~ Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma yadaiwa kukwama tena baada ya Umeme kukatika Stesheni ya Kilosa
~ TRC: Treni za SGR zilisimama maeneo matatu tofauti kutokana na hitilafu ya umeme katika Gridi ya Taifa