SGR ipate mapumziko ya siku 3 kwa wiki katika kipindi hiki cha mwanzo

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
46,618
66,801
Huenda SGR inafanyishwa kazi kupitiliza uwezo wake kwa sasa ndio maana inapata majanga ya kukwama mara kwa mara, sasa TRC wajaribu kuipa mapumziko ya siku 3 kwa wiki.

Yani ifanye kazi Jumamosi na Jumapili, ipumzishwe Jumatatu, ifanye kazi Jumanne, ipumzike Jumatano, ifanye kazi Alhamisi ipumzike Ijumaa.

PIA SOMA
- Treni ya SGR Dodoma kwenda Dar imekwama kituoni Mkata SGR station toka saa 1 jioni

- Morogoro: Treni ya SGR (Dar-Dodoma) yakwama Kidete Kilosa kwa zaidi ya saa 4, sababu Hitilafu ya Umeme

- Treni ya SGR yazimika tena Morogoro!
 
Wanatakiwa kuleta treni za kutosha, moja ikipumzika nyingine inapiga kazi.
 
Back
Top Bottom