SGR Dodoma -Dar yaanza rasmi leo 25 July 2024 usiku huu

Glenn

JF-Expert Member
May 23, 2015
66,648
159,102
Hatimaye SGR imeanza kazi rasmi kwa safari za Dodoma -Dar.

Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya terminals za airport na lenye nakshi za taa nzuri za kuvutia.

Watu wa Dodoma nao wamechangamkia fursa kwa kukata tiketi kwa ajili ya kutumia usafiri huu ambapo usiku huu wamepanga foleni kwa ajili ya kupata huduma ya usafiri.

Sio vibaya tukampa shukrani mbeba maono na mwanzilishi wa huduma hii muhimu Mwenda zake Magufuli.

Rai yangu kwa viongozi wengine wajifunze katika hili nao wawe na moyo wa uthubutu.

Rais Samia unalo la kujifunza hapa.

20240725_040009.jpg
20240725_040015.jpg
20240725_040018.jpg
20240725_035958.jpg


Pia soma:Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa kagua SGR, Treni kuanza kufanya kazi Juni 14 (Dar-Moro), Julai 25 (Dar-Dom)
 
Hatimaye SGR imeanza kazi rasmi kwa safari za Dodoma -Dar.

Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya ternlmials za aieport na lenye nakshi za taa nzuri za kuvutia.

Watu wa Dodoma nao wamechangamkia fursa kwa kukata tiketi kwa ajili ya kutunia usafiri huu ambapo usiku huu wamepanga foleni kwa ajili ya kupata huduma ya usafiri.

Sio vibaya tukampa shukrani mbeba maono na mwanzilishi wa huduma hii muhimu..Mwenda zake Magufuli.

Rai yangu kwa viongozi wengine wajifunze katika hili nao wawe na moyo wa uthubutu.

Rais Samia unalo la kujifunza hapa.
View attachment 3051256View attachment 3051257View attachment 3051258View attachment 3051259

Pia soma:Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa kagua SGR, Treni kuanza kufanya kazi Juni 14 (Dar-Moro), Julai 25 (Dar-Dom)
Hayo ni maono tangia kipindi Ben Mkapa, utekelezaji ukianza kipindi cha Magu, Samia anamalizia. Hiyo ni mipango ya chama ya muda mrefu.
 
Back
Top Bottom