SGR Dar-Moro: Abood Bus Service alikuwa akitoa basi 40 kwa siku, sasa anatoa 20 kwa siku

Hii ndio hali halisi, wananchi wana machaguo mengi sasa, hata nauli imeshuka kutoka 13,000 mpakq 10,000.

Sasa wafungue njia mpya, kuna sehemu zina lami nzuri lakini mabasi hovyo, Mbeya Mwanza, Mwanza Bukoba, Arusha Tarime, Tanga Mwanza, Tarime Dar. Turiani Mwanza.Mtwara Bukoba, Lindi Mwanza.

Ukiweka sufuria za mchina lazima zitoboke, hapo anakaa msweden mwenyewe

Zote hizo njia dume

SSH2025/2030
 
Athari ziko nyingi sana, zingine zitaoonekana baadae ila sio sasa.

Someni hapa:

Hii ndio hali halisi, wananchi wana machaguo mengi sasa, hata nauli imeshuka kutoka 13,000 mpakq 10,000.

Sasa wafungue njia mpya, kuna sehemu zina lami nzuri lakini mabasi hovyo, Mbeya Mwanza, Mwanza Bukoba, Arusha Tarime, Tanga Mwanza, Tarime Dar. Turiani Mwanza.Mtwara Bukoba, Lindi Mwanza.

Ukiweka sufuria za mchina lazima zitoboke, hapo anakaa msweden mwenyewe

Zote hizo njia dume

SSH2025/2030
Hii ni nzuri.

Abood Bus Service is No Longer a King of the Road!
Ufalme wa Barabarani umekwenda na Maji!

We Need a Positive Business Competition like that in all aspects of our lives in this country.
 
Back
Top Bottom