Serikali yawajibu Umoja wa Ulaya(EU) na Marekani kuhusu kutokuwepo usalama na haki za binadamu Tanzania

Magufuli anaanzisha vita ambavyo hatoviweza. Nadhani anaharakisha kuanguka kwa serikali yake. Akiendelea hivi kujaribu kufanya ligi na Wamarekani na Uingereza anajimaliza haraka sana

Ugo chavez alikuwa na nguvu sana America ya kusini, itakuwa mwepesi Magufuli. Nadhani busara itumike, tunaelekea kuzimu
 
Hugo
 
Ligi gani amefanya, amewajibu barua yao ambayo iligusia mauaji ya juzi juzi, ilhali hawakusema kitu mauaji yalipotukia kibiti. Na amewajibu US na EU, sio uingereza, muwe mnatumia akili basi na uzalendo pia.
Au rudi Nairobi utuachie nchi yetu
 
kuna tofauti kati ya mauaji ya kisiasa na mauaji ya kiuhalifu na hata uzito wa.vifo hivi una utofauti mkubwa sana ila sababu wajinga wengi walio serikalini hawaioni tofauti hiyo
Utofauti ni upi exactly, kwamba hao more than 30 wa kibiti ambao wengi waliouliwa ni wa ccm are lowlifes, compared to these few of chadema and a journalist. Shame on you guys
 
Back
Top Bottom