Serikali yatoa kibali cha ajira kuziba nafasi zilizoachwa na waliokutwa na vyeti feki

Asilimia mwisho sio 100 inaweza kuwa hata 10000% kulingana na by how much kitu kimeongezeka, kama kitu kilikuwa 1000 mwanzoni kikaongozeka mpaka 4000 hapo ni kama 300% increase.. So wapo sawa kusema 200%

Ila tu ukweli ni kwamba vijana wanazidi kusoma namba vema
Utakuwa ulisoma mitaala ya Koromije ww
 
Huu ni uongo mtupu. Asilimia 200?
Ninavyojua asilimia ni mwisho 100% tu.
Teh teh teh
Ndiyo haya haya ya madini, serikali ya ccm ni ya wezi na ni chanzo cha umasikini
:200% Ipo mathematical
E.g kama unapokea shiling 100 wakikuongezea 200% Utapokea
100+ [100×200%] =300
lakini kwa mshahara kuongezeka kwa hiyo % Ni sawa na kusubiri meli ya azam chalinze :D:D:D:D:D kwani serikali inaelekea kufulisika ndiyo maana wanaangaika na makinikia na magwangwala
 
Dah ***** huyu mama mm hua simuamini kabsa yan imani yote ishapotea yan

Ameshatoa kauli nying sana zote sikumbuki zinaishia vip
 
Ingekuwa maneno ndo ajira basi tungeshaajiri dunia nzima hapa bongo. Tatizo uswahili ni mwingi sana na vijimaneno vya barabarani
 
Zitatoka mwaka 2019 ili kuongeza wapiga kura wao kwa sasa subirini kwanza ...cjawah ona duniani gvt inakaa miaka miwili bila kuajiri wala kupandisha mishahara na posho.only in tz
 
Watumishi na wanaosubiri ajira waendelee kuvuta subira, bado tunaendelea na uhakiki wa vitambulisho vya utaifa kwa watumishi, wakati tukisubiri kodi iliyoibwa na ACACIA ili tuboreshe maslahi. Hadi 2019 ndio maswala yote yatakuwa yamekamilika.
 
Back
Top Bottom