BARD AI JF-Expert Member Jul 24, 2018 3,591 8,820 May 8, 2024 #1 Pia Soma: 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vinavyodaiwa kuondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'
Ndengaso JF-Expert Member Jul 18, 2014 7,656 13,914 May 8, 2024 #2 Wataanza kujisifu sasa kutatua tatizo walilotengeneza wao wenyewe!
makaveli10 JF-Expert Member Mar 27, 2013 30,974 90,853 May 8, 2024 #3 Tengeneza tatizo, kisha litatue, upigiw makofi 🤣
tamsana JF-Expert Member Jan 13, 2012 3,706 7,990 May 8, 2024 #6 BARD AI said: View attachment 2984832 Pia Soma: 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vinavyodaiwa kuondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF' Click to expand... Ngonjera zinaanza rasmi. #Kaziiendelee
BARD AI said: View attachment 2984832 Pia Soma: 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vinavyodaiwa kuondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF' Click to expand... Ngonjera zinaanza rasmi. #Kaziiendelee
Erythrocyte JF-Expert Member Nov 6, 2012 126,724 241,825 May 8, 2024 #7 Hii nchi aliyeipiga Jini ni katiri sana
M MPadmire JF-Expert Member Mar 7, 2006 3,951 3,239 May 8, 2024 #8 Wanakopeshana pesa za NHIF , halafu wanafuta bima ya watoto
N ngoshabunda Senior Member Jul 12, 2015 119 151 May 8, 2024 #9 BARD AI said: View attachment 2984832 Pia Soma: 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vinavyodaiwa kuondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF' Click to expand... Binafsi nampongeza MMM kwa kulipigia kelele kwenye mitandao
BARD AI said: View attachment 2984832 Pia Soma: 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vinavyodaiwa kuondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF' Click to expand... Binafsi nampongeza MMM kwa kulipigia kelele kwenye mitandao