Serikali Yamtaka Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Achukue Hatua Stahiki Dhidi ya Aliyemtukana Rais

Kama mtu anagonaga na kuua analipa faini ya laki 3,iweje faini ya milioni tatu ionekane kuwa ni adhabu ndogo?
 
Asante Mungu kwa kusikia kilio chetu sisi tunaoheshimu sheria. Mimi nilishangaa sana wanasiasa wa chadema kuingilia kati na kuligeuza kuala hili la kisiasa, na kibaya kumchangia hela mtu ambaye ni mtomvu na nidhamu, wakati huo huo hatuwaoni hao chadema wakichangia maendeleo wao ni kutembeza bakuri na kukusanya hela za kutumbua
 
Tulishasema serikali kandamizi ndiyo hufanya haya yote.

Nadhani inajitazama kwenye kioo kwa haya wayafanyayo.
 
Hii habari ingekua inatokea nchi za dunia ya kwanza ningeshangaa sana ila kwa Tanzania yetu hii; hata sishangai kabisa.

Mpaka hapo tutakapokua na akili japo kidoooogo, nitashangaa.
 
Huwa nashindwa kutofautisha wasomi wa nchi hii na sisi villaza, huyo ni msomi mwenye phd na shahada tano.
Hiyo ndio Tanzania, mawazo ya msomi wenye ya uzamivu yanaonekana sawa na ya msomi mwenye cheti cha kumaliza elimu ya msingi.
 
Back
Top Bottom