Serikali yafuta Hatimiliki ya Shamba la Mkonge la Kikwetu

Kampuni ya BSG? Nadhani kuna makosa ya kiuandishi. Sidhani kama kuna kampuni ya masuala ya gesi yenye jina hilo
 
Zao la Mkonge lunaitaji maji mengi maeneo yenye ukame ni ngumu mkonge kuota.

Mkuu naona umechanganya madesa,mkonge ni zao mojawapo linalovumilia ukame,sema processing yake kiwandani baada ya kuvunwa ndo inataka maji mengi kama unavyodai.
 
Nendeni mukasilimue muliyoyaona kwake

Mkawaeleze kuwa kuptia yeye makontena po yameanza kulipiwa kodi na hayalipiwi tena kodi kwa wajanja wachache china...na hayatoroshwi tena na pia waambie Dr.Mpango amepewa uwazri wa Fedha ili aweze kuwatumbua vizuri wezi wa bandarini na TRA ..Pia mashamba waliyojimiliksha wahindi na wagen yanarudshwa kwa wananchi ...nadriki kusema kua Mungu ndiye aliyetupa Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Dr.John Pombe Joseph Magufuli na Waziri wake Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa ambaye skumzania ila ameendesha kuangusha mibuyu. ..Yesu ni Bwana
 
Kuna uwezekano alishayakopea fedha haya mashamba. halafu mkopo akafanyia mambo mengine.katani akaiacha porini. Imekula kwake Dewji. mpango wa kuuza sura Forbes magazine nadhani unaanza kuingia doa. Magufuli oyeeeeee !
 
Kampuni ya BSG? Nadhani kuna makosa ya kiuandishi. Sidhani kama kuna kampuni ya masuala ya gesi yenye jina hilo

Ni kweli kakosea. inaitwa BG -British Gas.
BG na Statoil/Exxon mobil walikuwa wanasubiri wapewe eneo. Hili eneo la Lindi nasikia lilitengewa mabilioni ya kumfidia Mo Ent. Magufuli kawatolea nje. Unamlipaje fidia mtu ambaye hajaendeleza chochote.?naona JK hakushauriwa vema katika hili. Magufuli kalishughulikia..hapa kazzttuu.
 
Mkuu naona umechanganya madesa,mkonge ni zao mojawapo linalovumilia ukame,sema processing yake kiwandani baada ya kuvunwa ndo inataka maji mengi kama unavyodai.
Mkuu kweli nimechanganya madesa.

Nilikuwa nataka kuandika hivi.

halihitaji maji na linaloweza kuvunwa wakati wowote.

Teh teh teh
 
Kuna uwezekano alishayakopea fedha haya mashamba. halafu mkopo akafanyia mambo mengine.katani akaiacha porini. Imekula kwake Dewji. mpango wa kuuza sura Forbes magazine nadhani unaanza kuingia doa. Magufuli oyeeeeee !

Hili suala la uP.u>pU wa Forbes ndio linanitia kinyaa sana kwanza ile hela kapewa na baba yake ni aibu kuji compare na self made billionares
 
Hili suala la uP.u>pU wa Forbes ndio linanitia kinyaa sana kwanza ile hela kapewa na baba yake ni aibu kuji compare na self made billionares

Mkuu hapo naona umeanza kuleta chuki binafsi kwa huyu tajiri....kupewa pesa sio tatizo na kizuri zaidi yeye kapewa pesa na ameweza kuzizalisha maradufu...
 
Back
Top Bottom