Hatimaye serikali imeamua kuanza ujenzi wa nyumba mpya maeneo ya Golden Tulip kwa ajili ya familia ya Maghufuli.
Licha ya kujiuzia nyumba kadhaa jijini DSM, na hata zingine kwa vimada wake akiwa waziri wa ujenzi. Licha kujijengea mahekalu mkoani Geita na kujijengea uwanja wa ndege huko Chato.
Kama vile haitoshi, kodi za Watanzania zimeanza kutumika kumjengea JPM nyumba nyingine pale Golden Tulip kama walivyo wastaafu wengine.