Serikali yaanza ujenzi wa nyumba mpya ya Hayati Magufuli jijini Dar es Salaam kama Rais Mstaafu

Sasa ina maana gani ya kutumia mabilioni kuhamishia serikali huko kama wote hawapataki kuishi huko!
Mwenyewe rais mstaafu au familia yake ndio wanachagua sehemu ya kujengewa. Nyerere alijengewa butiama.
 
Sasa ina maana gani ya kutumia mabilioni kuhamishia serikali huko kama wote hawapataki kuishi huko!
Mwenyewe rais mstaafu au familia yake ndio wanachagua sehemu ya kujengewa. Nyerere alijengewa butiama.
 
Hatimaye serikali imeamua kuanza ujenzi wa nyumba mpya maeneo ya Golden Tulip kwa ajili ya familia ya Maghufuli.

Licha ya kujiuzia nyumba kadhaa jijini DSM, na hata zingine kwa vimada wake akiwa waziri wa ujenzi. Licha kujijengea mahekalu mkoani Geita na kujijengea uwanja wa ndege huko Chato.

Kama vile haitoshi, kodi za Watanzania zimeanza kutumika kumjengea JPM nyumba nyingine pale Golden Tulip kama walivyo wastaafu wengine.
Haya mambo yanaenda kisheria na si kimajungu majungu
 
Yaani hii nchi vioja vimezidi,au ni kwa sababu ya upumbavu wa wananchi wengi?Hivi mtu anajengewa nyumba kwani hakuwa anapewa mshahara ?
Nchi hii ni kama ina laana vile!! Mungu alisaidie hili taifa kuna pahala kuna shida kubwa..Mtu aishi Ikulu bure , alipwe mshahara na posho kibao kubwa kubwa, bado na favour nyingine. Still watu wanajengeana nyumba!!! Nchi maskini inaomba misaada kila leo!!!! Stupid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahekalu gan hayo ya geita ?.

Uwanja gan alojijengea ?.
Kwani mwnzetu ulikuwa dunia ipi na umerudi lini dunia hii .....!!?

Hivi nyumba inayoweza kuhost marais na kumlaza Uhuru kwa siku mbili unategemea ni nyumba ya kiwango gani .... kama siyo hekalu.....!!
 
Mtu ambaye analipiwa kilakitu mshahara wake upotu halafu anajengewa nyumba. Hii sio sawa.
Kuna mtumishi analipwa lakitano hajaongezewa mshahara,hapewi nauli,hana chai ofisini wala chakula,hana overtime nk

Hii dhuluma iondolewe. Sheria zitoe katazo kwa hii dhuluma
 
Unawivu, mbona wengine waliojengewa huwasemi na wote wana mimali hata kumzidi mwendazake, kasome katiba inasemaje kuhusu maslahi ya viongozi wakuu wa serikali.
Jamaa ana wivu mpaka kaburi la marehemu analionea wivu
 
Back
Top Bottom