Serikali ya Rais Magufuli imekuathiri kwa kiasi gani?

pic+matokeo.jpg
 
Kweli hali ni tata sana apa nilipo meezi wa pili sasa sioni dalili la dili hata la

Wewe ulikua ni jipu, hilo limepasuka lenyewe inabidi ukamuliwe usaa utoke maana mwenyewe kujikamua ni ngumu.
 
Serikali inapobana matumizi, uzalishaji unapungua katika soko la bidhaa, pia hupelekea uwekezaji kupungua na kuleta athari katika soko la fedha.
unajua maana maana ya kubana matumizi?

hakuna tajiri ambaye habani matumizi. kubana matumizi ni kupunguza matumizi yasiyo ya ulazima na kuongeza matumizi ya ulazima mfano zahanati,elimu,miundombinu,afya.

utanishangaza ukisema uchumi umepungua eti kisa serikali imebana matumizi, kumbuka kubana matumizi ni pamoja na kufuta sherehe za serikali,ununuzi wa samani nchini badala ya kuagiza nje. sasa ipi bora tutanue matumizi au tubane
 
Habari zenu wakuu,

Hii serikali haitanii, simpigii mtu debe ila kwa kweli nime i-feel kweli, tofauti na serikali iliyopita hii imeleta athari za moja kwa moja katika maisha yangu na nimehisi uwepo wake,field husika sitoitaja hapa.

Vipi wewe mwenzangu?
Deni la mkopo wa elimu ya juu wanaanza kudai kwa nguvu zote na mshahara hautoshi.Paye, staff loan, security fund nitakuwa cna kitu
 
Back
Top Bottom