Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,582
- 34,288
Wachumi na wanahistoria naomba mnisaidie Serikali za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Jakaya hazikufanya udanganyifu wa takwimu za uwepo wa viwanda vipya Tanzania.
Naamini hata Serikali ya awamu ya tano haiwezi fanya kosa Kama Hilo la kupika data za kiuchumi.
Hivyo wanavyosema ndani ya miaka minne tumejenga viwanda 4000 nchi nzima naamini ni kweli.
Hii inafanya wastani wa viwanda 133 vipya ndani ya kila mkoa kwa nchi nzima.hongera Sana JPM
Swali langu.
Kama tumejenga viwanda vipya vingi kiasi Hiki je ni kwanini awamu zote nne wazazi walilelewa na watoto wao uzeeni ila kizazi Hiki wazazi wazee wanawalea watoto wao vijana?
Nakomea hapa kwasasa nitahitimisha baada ya utafiti wa miezi mitatu.