KERO Serikali ya Mkoa wa Dar Es Salaam inampango gani na foleni ya Mbagala

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,557
12,317
Foleni ya Mbagala Rangi 3 ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara ya Kilwa Road. Sababu za kuleta foleni zinajulikana kuwa ni daladala.

Tafadhali uongozi wa Mkoa tafuteni suluhisho la tatizo hili. Napendekeza itafutwe njia mbadala kama ilivyofanya zamani kwa daladala zinazotumia barabara ya Uhuru pale Ilala Boma.
 
Foleni ya Mbagala Rangi 3 ni kero kubwa sana kwa watu jaji wa barabara ya Kilwa Road.
Sababu za kuleta foleni zinajulikana kuwa ni daladala.
Tafadhali uongozi wa Mkoa tafuteni suluhisho la tatizo hili.
Napendekeza itafutwe njia mbadala kama ilivyofanya zamani kwa daladala zinazotumia barabara ya Uhuru pale Ilala Boma.
Tumelichukua, tunalijadili
 
Foleni ya Mbagala Rangi 3 ni kero kubwa sana kwa watu jaji wa barabara ya Kilwa Road. Sababu za kuleta foleni zinajulikana kuwa ni daladala.

Tafadhali uongozi wa Mkoa tafuteni suluhisho la tatizo hili. Napendekeza itafutwe njia mbadala kama ilivyofanya zamani kwa daladala zinazotumia barabara ya Uhuru pale Ilala Boma.
Dah! Naona kijana unataka nini kuhusu maokoto? Wewe hauna gari, hauna baisikeli na hauna pikipiki tuache tunalishughurikia jambo hilo na tayari tumefikia hatua nzuri ambayo imeanza kuonesha ufanisi ikiwemo foleni kupungua kuanzia saa sita usiku.
 
Viongozi wa serikali ni kama mikoa ya kusini bado hawaithamini, maana lipo eneo kubwa pale kongowe la wazi kabisa linaweza kujenga miundo mbinu na kuondoa foleni pale rangi3 lakini hakuna anayejali
 
Wale wafanya biashara waliopo pembezoni kwa barabara waondolewe na wanao kaa kati Mwendo kasi,Chanzo cha foleni mbagara rangi mbili ni wafanya biashara walio jazana.
 
Back
Top Bottom