Serikali ya Magu ina nyota inang'aa , speach ya PM ingekuwa enzi za JK! Mmmmmmh

we mwenyewe ushasema sarakasi,mkuu wanaodanganywa na maigizo haya ni lumumba peke yao,sie wengine tunapambana kumtumbua magufuli!
Yaani unapambana kumtumbua Magufuli,kazi kweli inamaana anavyorekebisha na kuleta nidhamu ktk utumishi inakuuma sana? Utashindwa na mwisho wake utalegea mwenyewe.
 
Sijui kwa nini ninyi Watanzania manojadili suala la Bajeti ya Wizara ya PM mpenda kukejeri uamuzi wa wizara hiyo kuwapa na kuwataka wafanyakazi wake, kuanzia mwaka mpya wa fedha ujao, kutumia usafiri wa bajaji na boda boda. You guys you seem to be very cynical. Kama kuna watu wadhani mabadiliko ni maneno tu ya wansiasa, kwa kutumia msemo wa waswahili, imekula kwao.

Policy environment ya serikali ya JPM ni kuhakikisha maisha ya maofisa wa serikali yanawiana na maisha ya wananchi wa kawaida. Closing an artificial status gap. Kwamba kuwa ofisa waserikali hakumaanishi kutajirika. Hii ni mentality iliyokuwepo huko nyuma tuliko toka, hasa katika tawala za BWM na JK.

Kwamba kuwepo kwa uwiano wa maisha baina ya maofisa wa serikali na watu wa kawaida kutahamasisha wananchi wengi kulipa kodi, kutapunguza au kuondoa kabisa corruption mentality kuwa ukiwa ofisa wa serikali basi you are presumed tajiri/mkwasi, hivyo unastahili kunatumia magari yenye hadhi kama V8. Mentality hii imekuwa ikiwafanya wananchi kuwasujudia wezi wa mali ya umma na wala rushwa, kwa kuwaogopa na hivyo kushindwa ku-monitor mienendo yao.

Treatment ya serikali kwa maofisa wake imechangia kwa kiasi kikubwa kwa maofisa wala rushwa kujificha na kupewa heshima wasiostahili kwa presumption kuwa ni matajiri kumbe ni wezi na wala rushwa tu wasiostahili hata chembe ya heshima.

Ukisoma bajeti ya PM unaona genuinity; Tzs.236.7bn kati ya hizo, Tzs.71.5bn ni pesa za matumizi ya kawaida wakati Tzs. 165.2bn ni pesa za matumizi ya maendeleo. Tujiulize (kwa ushahidi) ni wakati gani katika historia ya bajeti ya Tanzania makadirio ya bajeti ya maendeleo yaliwahi kuzidi makadirio ya bajeti ya matumizi ya kawaida? Tena kwa Zaidi ya asilimia 100!

Tuache mazoea tuliyotoka nayo huko nyuma, these guys are serious. Tusiwakebehi, tuwaunge mkono.
Kazi ya mijadala ni kukosoa sehemu ambayo utashi wa mtu husika anaona kuna makosa, kwa mtazamowako kila kitu inabidi kukiunga mkono? Hao pia wanadamu wanakosea na pengine wana mapungufu, mjadala ni kwa ajili ya kurekebisha Think twice
 
Sijui kwa nini ninyi Watanzania manojadili suala la Bajeti ya Wizara ya PM mpenda kukejeri uamuzi wa wizara hiyo kuwapa na kuwataka wafanyakazi wake, kuanzia mwaka mpya wa fedha ujao, kutumia usafiri wa bajaji na boda boda. You guys you seem to be very cynical. Kama kuna watu wadhani mabadiliko ni maneno tu ya wansiasa, kwa kutumia msemo wa waswahili, imekula kwao.

Policy environment ya serikali ya JPM ni kuhakikisha maisha ya maofisa wa serikali yanawiana na maisha ya wananchi wa kawaida. Closing an artificial status gap. Kwamba kuwa ofisa waserikali hakumaanishi kutajirika. Hii ni mentality iliyokuwepo huko nyuma tuliko toka, hasa katika tawala za BWM na JK.

Kwamba kuwepo kwa uwiano wa maisha baina ya maofisa wa serikali na watu wa kawaida kutahamasisha wananchi wengi kulipa kodi, kutapunguza au kuondoa kabisa corruption mentality kuwa ukiwa ofisa wa serikali basi you are presumed tajiri/mkwasi, hivyo unastahili kunatumia magari yenye hadhi kama V8. Mentality hii imekuwa ikiwafanya wananchi kuwasujudia wezi wa mali ya umma na wala rushwa, kwa kuwaogopa na hivyo kushindwa ku-monitor mienendo yao.

Treatment ya serikali kwa maofisa wake imechangia kwa kiasi kikubwa kwa maofisa wala rushwa kujificha na kupewa heshima wasiostahili kwa presumption kuwa ni matajiri kumbe ni wezi na wala rushwa tu wasiostahili hata chembe ya heshima.

Ukisoma bajeti ya PM unaona genuinity; Tzs.236.7bn kati ya hizo, Tzs.71.5bn ni pesa za matumizi ya kawaida wakati Tzs. 165.2bn ni pesa za matumizi ya maendeleo. Tujiulize (kwa ushahidi) ni wakati gani katika historia ya bajeti ya Tanzania makadirio ya bajeti ya maendeleo yaliwahi kuzidi makadirio ya bajeti ya matumizi ya kawaida? Tena kwa Zaidi ya asilimia 100!

Tuache mazoea tuliyotoka nayo huko nyuma, these guys are serious. Tusiwakebehi, tuwaunge mkono.
Aangalie wenzie wanafanyaje, vibajaji leo mkuu? MOI iimarishwe
 
Serikali ingekua inatoa guarantee na kusababisha wafanyakazi wanaostalihi kupata magari wakopeshwe kwenye mabenki kama nchi nyingine then basi, sio bajaji
 
Kwa Serikali inayojua hali za Watanzania zilivyo, ku-allocate pesa kwa ajili ya kununua magari ya mabosi haiwezi kuwa correct policy choice. Tuliobahatika kuona namna maofisa wa Serikali walivyokuwa wanahudumiwa enzi za Mwl. Nyerere, tunafahamu fika kuwa hata bajaji would be considered luxury. Nevertheless, kwa Dar es Salaam ambako wafanyakazi wa Serikali Kuu ni wengi zaidi, wahusika watashauriwa kutumia usafiri wa umma ulioboreshwa (UDA-DART). Enzi za Mwl. Nyerere wafanyakazi wa Serikali walisafiri kwa UDA na kazi zilifanyika kwa ufanisi na tija ilipatikana. Labda utashangaa nikikujuza kuwa nilisoma na Ndugu Hussein Mwinyi, enzi hizo akitokea Tandika kwa UDA kwenda Azania. Hussein Mwinyi kwa sasa ni Awziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Kwa wasiojua, it seems the Government is borrowing a leaf from Japanese and Indian Governments. Wafanyakazi katika serikali hizo ni the least paid cadre, lakini wakijiunga na private sector wanapewa special package na kuwa the highest paid cadre of private sector staff/personnel.

Tufikiri advantage ya sera hii kama built-in national development strategy kupitia maendeleo (institutionally, innovatively, R&D investment et la) ya sekta binafsi.
 
Huyo anayeongelea bodaboda ina maana hajali uhai wa hao wafanyakazi. Taarifa za juzi tu ajali zinaonesha bodaboda ni kaburi la Watanzania. Kati ya vifo zaidi ya 3,000 mwaka huu, zaidi ya 2,000 ni ajali za bodaboda. Hii ina maana ndani ya miaka 4, watanzania zaidi ya 10,000 watakuwa wamekufa kwa ajali za bodaboda!
Ajali za bodaboda hazisababishwi na mashine bali binadamu wasio heshimu sheria za barabara na kwa wingi wenye liseni za kuonga. Nchi nyingi hasa huko Asia, bodaboda ndiyo kifaa cha usafiri mijini na vijijini.
 
Mkuu kumbe mtu akivaa suti na kula bia yake na nyama choma inakuwa shida!!! Sisi wavuvi huwa siku moja moja tunapiga suti tunaingia mjini kula jasho letu. Lazima upate bia, nyama choma na toto kujipongeza baada ya kuloweka ziwani. Usije ukakutana na mimi ukadhani ni mtumishi wa umma.
mkuu hiyo suti na tai ni lugha tu ya kifasihi. lakini naamini umeelewa na maanisha akina nani. hata mimi navaaga suti hivyohivyo na kwenda kula nyama bar.
 
Bandugu,

Ingekuwa enzi za serikali ya Jk na Mzee Pinda angesoma kuwa wanahitaji kununua bodaboda na bajaji kwa ajiri ya watumishi walioko chini ya PM i can't imagine matusi yangekuwaje!

Jana PM kajisomea hotuba yake lakini sijui ni kwasababu hionyeshwi live! hamna mtu anayeongelea hizo sarakasi! bodaboda na bajaji bila ya kufanya extension ya MOI na Mortuary?

Hebu tusubiri tuone!
n !!
 
Napiga picha jinsi bajaji inavyopanda mlima kitonga au sekenke au milima ya mwanza
 
we mwenyewe ushasema sarakasi,mkuu wanaodanganywa na maigizo haya ni lumumba peke yao,sie wengine tunapambana kumtumbua magufuli!
Angalia sasa vichaa wa cdm hata Mbowe hana ubavu wa kumtumbua Magufuli..Vipi maandamano ya bunge kuonyeshwa live ni lini.
 
Sijui kwa nini ninyi Watanzania manojadili suala la Bajeti ya Wizara ya PM mpenda kukejeri uamuzi wa wizara hiyo kuwapa na kuwataka wafanyakazi wake, kuanzia mwaka mpya wa fedha ujao, kutumia usafiri wa bajaji na boda boda. You guys you seem to be very cynical. Kama kuna watu wadhani mabadiliko ni maneno tu ya wansiasa, kwa kutumia msemo wa waswahili, imekula kwao.

Policy environment ya serikali ya JPM ni kuhakikisha maisha ya maofisa wa serikali yanawiana na maisha ya wananchi wa kawaida. Closing an artificial status gap. Kwamba kuwa ofisa waserikali hakumaanishi kutajirika. Hii ni mentality iliyokuwepo huko nyuma tuliko toka, hasa katika tawala za BWM na JK.

Kwamba kuwepo kwa uwiano wa maisha baina ya maofisa wa serikali na watu wa kawaida kutahamasisha wananchi wengi kulipa kodi, kutapunguza au kuondoa kabisa corruption mentality kuwa ukiwa ofisa wa serikali basi you are presumed tajiri/mkwasi, hivyo unastahili kunatumia magari yenye hadhi kama V8. Mentality hii imekuwa ikiwafanya wananchi kuwasujudia wezi wa mali ya umma na wala rushwa, kwa kuwaogopa na hivyo kushindwa ku-monitor mienendo yao.

Treatment ya serikali kwa maofisa wake imechangia kwa kiasi kikubwa kwa maofisa wala rushwa kujificha na kupewa heshima wasiostahili kwa presumption kuwa ni matajiri kumbe ni wezi na wala rushwa tu wasiostahili hata chembe ya heshima.

Ukisoma bajeti ya PM unaona genuinity; Tzs.236.7bn kati ya hizo, Tzs.71.5bn ni pesa za matumizi ya kawaida wakati Tzs. 165.2bn ni pesa za matumizi ya maendeleo. Tujiulize (kwa ushahidi) ni wakati gani katika historia ya bajeti ya Tanzania makadirio ya bajeti ya maendeleo yaliwahi kuzidi makadirio ya bajeti ya matumizi ya kawaida? Tena kwa Zaidi ya asilimia 100!

Tuache mazoea tuliyotoka nayo huko nyuma, these guys are serious. Tusiwakebehi, tuwaunge mkono.
Mkuu hawa mashoga wa CDM Oooo SORY wariberali wa CDM hawatakuelewa..coz waliaminishwa mabadiliko katika kuzungusha mikono mauno pale UFIPA sasa mabadiliko halisi yanakuja wanaanza kupwaya....Tumebaki na akina msigwa wanalilia kwenda nje ya nchi kuangalia nyumba za mabalozo ...Shit watetezi wa mafisadi.
 
mkuu hiyo suti na tai ni lugha tu ya kifasihi. lakini naamini umeelewa na maanisha akina nani. hata mimi navaaga suti hivyohivyo na kwenda kula nyama bar.
Mkuu niliogopa manake hivi sasa wananchi wana hasira unaweza shitukia upo mikononi mwao. Hali kama hii ingekuwepo wakati ule wa ufisadi magari ya mafisadi yangechomwa moyo!!
 
Mkuu hawa mashoga wa CDM Oooo SORY wariberali wa CDM hawatakuelewa..coz waliaminishwa mabadiliko katika kuzungusha mikono mauno pale UFIPA sasa mabadiliko halisi yanakuja wanaanza kupwaya....Tumebaki na akina msigwa wanalilia kwenda nje ya nchi kuangalia nyumba za mabalozo ...Shit watetezi wa mafisadi.
unajidhalilisha! kwanini kwenye hoja wewe inakuja matusi? uko overcomfident? ni afadhali ukae kimya tuu utakuwa gentlemen! how old are you anyway? unaweza ukawa unaongea na babu yako with a hidden ID utapata laana kwa siasa tuu!
 
Kwa Serikali inayojua hali za Watanzania zilivyo, ku-allocate pesa kwa ajili ya kununua magari ya mabosi haiwezi kuwa correct policy choice. Tuliobahatika kuona namna maofisa wa Serikali walivyokuwa wanahudumiwa enzi za Mwl. Nyerere, tunafahamu fika kuwa hata bajaji would be considered luxury. Nevertheless, kwa Dar es Salaam ambako wafanyakazi wa Serikali Kuu ni wengi zaidi, wahusika watashauriwa kutumia usafiri wa umma ulioboreshwa (UDA-DART). Enzi za Mwl. Nyerere wafanyakazi wa Serikali walisafiri kwa UDA na kazi zilifanyika kwa ufanisi na tija ilipatikana. Labda utashangaa nikikujuza kuwa nilisoma na Ndugu Hussein Mwinyi, enzi hizo akitokea Tandika kwa UDA kwenda Azania. Hussein Mwinyi kwa sasa ni Awziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Kwa wasiojua, it seems the Government is borrowing a leaf from Japanese and Indian Governments. Wafanyakazi katika serikali hizo ni the least paid cadre, lakini wakijiunga na private sector wanapewa special package na kuwa the highest paid cadre of private sector staff/personnel.

Tufikiri advantage ya sera hii kama built-in national development strategy kupitia maendeleo (institutionally, innovatively, R&D investment et la) ya sekta binafsi.
mkuu nimecheekaa hivi leo hii uanze na ideal za mwalimu nyerere? i am old enough nakumbuka enzi za nyerere, enzi ya simu za kukoroga posta! oups nothing ia new under the sun, kama serikali ingekuwa visionary ingeangalia wenzie wanafanya nini sio kuchukua a failure ideal!

Wazambia wanahamasisha wafanyakazi wa kada mbalimbali wakanunue magari binafsi.kwa guarantee ya serikali kwenye mabank, sio bajaji, nani atakuwa responsible na running cost ambapo wizi mwingi hutokea?
 
Ila PM hapo kwenye Bajaji na Bodaboda kachemka
Ajachemka wakati wa awamu ya Kwanza naya pili Halmashauri walitumia sana Honda, Suzuki, Yamaha na magari aina ya land rover na suzuki na Kazi ili end a kwanini sasa hivi ishindikane hili hali barabara ni bora kuliko enzi hizo, pia kuna ngo na makampuni usafiri wao mkubwa wa field ni pikipiki Mfano ceda na wanaoendesha ni Wafanyakaz graduate wa chuo. Inawezekana sana na uwo mpango ndio mzuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom